Tanzania yenye mwanga na matarajio mapya

Tanzania yenye mwanga na matarajio mapya

fshimbi

Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
16
Reaction score
0
Sasa baada ya hotuba ya Rais alipo kutana na sector binafsi sasa nimepata picha kwanini Mh. Rais alitumia usafiri wa gari katika kampeni zake kwani alijaribu kwa nguvu zake zote na kila namna kukwepa na kukataa kile kinacho julikana kama takrima ambayo baadae Inge athiri kwa kiasi kikubwa utendaji wake wa kazi katika kulikomboa Taifa ili lililo tumbukia katika tope zito la mafisadi namwombea kwa mwenyezi Mungu amlinde na kumwongoza aendelee kutumbua majipu yanayo zaniwa kuwa ni magumu kutumbulika.
 
Back
Top Bottom