Pulchra Animo Platinum Member Joined Jun 16, 2016 Posts 8,369 Reaction score 14,614 Apr 18, 2022 #21 Stroke said: Haya mapesa tunapokea toka uhuru lakini ni nadra sana kuona impact yake kwenye jamii. Click to expand... Nipe mifano ya nchi zilizoendelea kwa kutegemea foreign aids nami nitakupa mifano ya nchi zilizodumazwa na dependency syndrome!
Stroke said: Haya mapesa tunapokea toka uhuru lakini ni nadra sana kuona impact yake kwenye jamii. Click to expand... Nipe mifano ya nchi zilizoendelea kwa kutegemea foreign aids nami nitakupa mifano ya nchi zilizodumazwa na dependency syndrome!
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 39,990 Reaction score 51,097 Apr 18, 2022 #22 Pulchra Animo said: Nipe mifano ya nchi zilizoendelea kwa kutegemea foreign aids nami nitakupa mifano ya nchi zilizodumazwa na dependency syndrome! Click to expand... Swala hapa ni uaminifu, matumizi sahihi ya fedha za misaada na uchaguzi sahihi wa miradi. Kuna nchi zilikua maskini ila walijikwamua kwa kuzingatia hayo hapo juu. I.e Malaysia.
Pulchra Animo said: Nipe mifano ya nchi zilizoendelea kwa kutegemea foreign aids nami nitakupa mifano ya nchi zilizodumazwa na dependency syndrome! Click to expand... Swala hapa ni uaminifu, matumizi sahihi ya fedha za misaada na uchaguzi sahihi wa miradi. Kuna nchi zilikua maskini ila walijikwamua kwa kuzingatia hayo hapo juu. I.e Malaysia.
Pulchra Animo Platinum Member Joined Jun 16, 2016 Posts 8,369 Reaction score 14,614 Apr 18, 2022 #23 Stroke said: Swala hapa ni uaminifu, matumizi sahihi ya fedha za misaada na uchaguzi sahihi wa miradi. Kuna nchi zilikua maskini ila walijikwamua kwa kuzingatia hayo hapo juu. I.e Malaysia. Click to expand... Kupokea foreign aid is one thing na utegemezi wa foreign aid is quite another.
Stroke said: Swala hapa ni uaminifu, matumizi sahihi ya fedha za misaada na uchaguzi sahihi wa miradi. Kuna nchi zilikua maskini ila walijikwamua kwa kuzingatia hayo hapo juu. I.e Malaysia. Click to expand... Kupokea foreign aid is one thing na utegemezi wa foreign aid is quite another.
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 39,990 Reaction score 51,097 Apr 18, 2022 #24 Pulchra Animo said: Kupokea foreign aid is one thing na utegemezi wa foreign aid is quite another. Click to expand... Tanzania tumekuwa tegemezi wa misaada kwakua tunakosa mambo niliyoyataja hapo awali. Hatupaswi kuendelea kutegemea misaada. Na hatujachelewa kuacha utegemezi hata sasa tunaweza fanya hivyo kwa kuzingatia hayo niliyoyataja. Bila kufanya hivyo tutakuwa dampo la misaada na masharti ya wazungu. Na viongozi wetu watakua wanashindana kujipendekeza kwao ili maisha yetu yaende.
Pulchra Animo said: Kupokea foreign aid is one thing na utegemezi wa foreign aid is quite another. Click to expand... Tanzania tumekuwa tegemezi wa misaada kwakua tunakosa mambo niliyoyataja hapo awali. Hatupaswi kuendelea kutegemea misaada. Na hatujachelewa kuacha utegemezi hata sasa tunaweza fanya hivyo kwa kuzingatia hayo niliyoyataja. Bila kufanya hivyo tutakuwa dampo la misaada na masharti ya wazungu. Na viongozi wetu watakua wanashindana kujipendekeza kwao ili maisha yetu yaende.
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,645 Reaction score 14,804 Apr 18, 2022 #25 Kila unapogeuka unasikia harufu ya dili kila mahala ni dili hakuna kitu hapo .
JF Member JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 8,285 Reaction score 11,595 Apr 18, 2022 #26 Madini yanawekwa rehani mno. Rasilimali kama madini yanauwezo wa kujichimba yenyewe bila kupata tuhela twa ajabu.
Madini yanawekwa rehani mno. Rasilimali kama madini yanauwezo wa kujichimba yenyewe bila kupata tuhela twa ajabu.
The Sunk Cost Fallacy JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 19,516 Reaction score 14,186 Apr 18, 2022 #27 Monica Mgeni said: View attachment 2191273 Click to expand... Ila mpunga ni kiduchu Sana.. Hata hivyo mama aiombe Marekani iturudishe kwenye MCC kule kuna mpunga mnene Sana.
Monica Mgeni said: View attachment 2191273 Click to expand... Ila mpunga ni kiduchu Sana.. Hata hivyo mama aiombe Marekani iturudishe kwenye MCC kule kuna mpunga mnene Sana.