Me Nyerere walitengeneza wao?Na hiyo sio ya kwanza mkuu. Ni wataalamu kweli kweli. Katika ziwa nyasa hiyo ni meli ya tatu. Mbili ni za mizigo,zilishaanza kazi na ziko imara kuliko za kuagiza. Ksbb Engine yake ni kubwa na zina speed kuliko za kuagiza. Hiyo kampuni ya SONGORO MARINE ni mzawa Head ofisi yake iko Mwanza. Kwa sasa wanaweza kuhamishia kazi zao Kigamboni wana eneo kubwa huko,si mbali kutoka kivukoni. Wametengeneza vivuko,maboti na maeneo mbalimbali. Ziwa Tanganyika,Wako Mombasa. Ni kampuni makini sana
Ukiangalia teknolojia ilivyo, hata ukiangalia makala za utengenezaji ndege ama magari, kuna vitu kamapuni inaagiza kutoka sehemu nyingine. Kuna ambazo huagiza injini, seat, mabawa kutegemea na mahitaji.Unaota makampuni ya magari Ni Tofauti na ya kutengeneza injini.Japan ziko.kampuni za kutengeneza injini tu za Aina zote za magari ,ndege ,meli nk na huuzia kampuni za kutengeneza magari.Hakuna hata kiwanda kimoja Cha kutengeneza magari,meli au ndege kinachotengeneza injini.Wote huweka order viwanda vya injini.Hata kiwanda Cha ndege Cha Boeing injini za ndege hununua.
MV NYERERE hawakutengeneza wao,ila wanaikarabati baada ya kuzama,wanai-renewMe Nyerere walitengeneza wao?
Baskeli yenyewe tumeshindwa meli ndio tutaweza?
Kwa hiyo Songoro amazitengeneza bure?Usimpe sifa bure hawa wameanz tengeneza meli kitambo refer kesi ya shigongo kuwasjitaki songoro baada ya kuwalipa ela wamjengee boat sijui ya kwenda ukelewe wakamzungusha boat wakajenga lakini hawakumpa
Kampuni kubwa za ndege kama Boing na Airbus wanachokifanya hakina tofauti na anachokifaya Songoro Marine. Boing anatengeneza na kudesign body engine na mifumo mingine ni kutoka kampuni nyingine. Boing ya marekami zinatumia engine iliyotengenezwa na Rolls Royce ya Uingereza. Pia Airbus kama hizi za ATCL zinatumia engine za Pratty and Whitney engines ambazo hazitengenezwi na Airbus.Engine wananunua,tairi wananunua,gia box wananunua,nyaya za umeme za gari wananunua,taa za gari wananunua ,chuma wananunua,seat wananunua wanachofanya kazi kubwa Ni kazi ya welding ya kutengeneza bodi na kupachika hivyo walivyonunua yaani KU assemble .Viwandani vyao vina mitambo mikubwa automatic ya kuassemble.Japan Wana desingners wazuri wa kuchora bodi za magari na welders wazuri.Otherwise kinachofanyika ni.ku assemble tu.Niishie hapa siwezibwndelea kubishana na mtu mwenye lowest IQ Kama wewe sikujibu tena
Mkuu usitumie hasira sana. Ukisema kutengeneza kwa maana halisi kwamba unafanya kila kitu, kwa tz bado. Labda ukiniambia kuunda body ya gari ama meli, lakini injini na nyaya kwaajili ya wirings bado vinazalishwa nje. Tukubali kwamba hatujawa na uwezo wa kutengeneza bali kuunganisha, japo nayo ni hatua kubwa mno. Jiulize mv Victoria iliundwa au ilitengenezwa nchini? Na kama ilitengenezwa nje ya nchi, kifaa gani kilisafirisha na ukubwa wote ule, kilipita wapi? Ukipata jibu hautashangaa kwa kinachofanyika songoro. Kikubwa katika uungaji huzingatia ukubwa pamoja na uzito wa kitu (vipimo)Wewe ni katika wajinga Fulani watu wameshajitengenezea pikipiki na magari yao binafsi majumbani na Hadi plate number wanazo yako barabarani wewe sijui uko dunia gani
Mini kinatengenezwa bila assembly!Kwa mtazamo wangu utengenezaji wa Meli ni wa mfumo wa Assembly. So inawezekana tu kutengeneza, hapa hapa muhimu ni yard na malighafi nyinginezo