Tanzania yatekeleza asilimia 9 tu ya mapendekezo ya haki za binadamu

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
thrdc.jpg

WAKATI tathmini ya pili ya haki za binadamu ulimwenguni inatarajiwa kufanyika Jumatatu Mei 9, 2016 jijini Geneva, Uswisi, imeelezwa kwamba, Tanzania imetekeleza kikamilifu kwa asilimia tisa tu mapendekezo ya awamu ya kwanza, FikraPevu inaripoti.

Katika ya mapendekezo 107 iliyoyakubali kutoka mapendekezo 166, Tanzania imetekeleza kwa asilimia 62 sehemu ya mapendekezo hayo wakati haikuyatekeleza kabisa mengine kwa asilimia 29.

Kwa habari zaidi, soma hapa=> Tanzania yatekeleza asilimia 9 tu ya mapendekezo ya haki za binadamu | Fikra Pevu
 
Back
Top Bottom