Tanzania yashika nafasi ya pili kwa machapisho mengi ya sayansi Afrika mashariki

thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,827
4,757
Kwa mujibu wa taarifa za SCImago Journal & Country Rank imeonyesha Tanzania kuwa nafasi ya 84 kidunia kwa kuwa na machapisho mengi ya sayansi na ya pili kwa afrika mashariki huku nchi ya Kenya ikiendelea kuongoza kwa kushika nafasi ya 67 kidunia.

Sekta ambazo zimeongoza kuwa na machapisho mengi ni kilimo na sayansi ya biolojia pamoja na medicine, Lakini mbali na hayo Tanzania haifanyi vizuri sana kwenye sekta hizo tajwa, kuna uwezekano serikali kuwa hazitilii mkazo wa kutosha tafiti zinazofanywa na wataalamu wetu.

SJR - International Science Ranking
SJR - Tanzania
 
Back
Top Bottom