Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya mafuta ya taa, diesel na Petrol Afrika Mashariki, Kenya bei juu

Point ya kijinga kuhusu kulalamika. Who cares? Halafu unaongelea wakenya wa border town? Point ni kwamba usisifie Tz wakati hali ni mbaya. Na Rais Samia anaongozwa na wakina Majaliwa na Mwigulu. Wala mimi yeye simlaumu sana. NA WW UTAKUWA DIWANI WA CCM WW. UNATETEA UGALI WAKO. KWENDAAAA!!!


Kumbe najadili na mtu hana akili,

Akili yangu nisamehe,
 
Hawalalamiki kwa level ya WaTz aisee. Mwezi uliopita nilikuwa Kenya wiki 2 na nusu na kuna tofauti kubwa sana ya watu wanavyochukulia maisha Kenya na Tanzania. Tatizo nyie mnapata habari za magazeti wakati watu tumeishi kabisa kujua first hand information.
Siyo wewe tu unaefika Kenya!

Kenya wote tunafika, katika nchi zinaongoza kwa maisha magumu hapa EAC ni Kenya
 
Usijali.. nitakuelimisha naona ww kweli uko frozen upstairs.

Ajira hakuna.. kipato hakuna.. na mfumuko wa bei kila sehemu...
Kwahiyo ulivyokuja bongo 2018 walikuwa hawalalamiki maana ajira zilikuwa za kumwaga sio?
 
Soma vizuri, nimekwambia bei zimepanda pia kwenye soko La dunia,

Unataka mfuta yauzwe 1,700 tutayatoa wapi?

Kuhusu hizo nchi leo nazungumzia EAC,
Sawa soko la dunia yanauzwaje thamani yake kwa lita moja, tia usafiri naa mambo mengine, kodi zoote uchanganue kisha wweekaa hapa mezani tujionee wenyewe.
 
Kwanini wewe usifanye ili kutetea hoja yako,
Naona jamii forum imevamiwa sasa,

Wewe atakuandika tu hijui
Umefikaje?
Sawa soko la dunia yanauzwaje thamani yake kwa lita moja, tia usafiri naa mambo mengine, kodi zoote uchanganue kisha wweekaa hapa mezani tujionee wenyewe.
 
huu uzi umekaa kimaandazi sana tena mleta uzi hata lasaba hajamaliza yaani hajui Tanzania pekee kwamba ndio lita moja ya mafuta ina kodi zaidi ya 45? maaa mafuta hadi bandari ya Dar bei yake ni sh 1200 kwa lita moja sasa angalia hayo matozo yanayowekwa ndani yake , ni balaa. Cha ajabu hata Rwanda na Zambia ambako koooote mafuta yao yanapitia kwetu wao bei rahisiiii wala mafuta sio ishu kwao. Kuna dhambi inatutafuna
 
Hii Nchi ina watu wanaolia Lia Sana,walalamishi ,wakulaumu na wavivu wa kufikiri sasa ni kuwapuuza wakileta fyoko piga nyundo la sivyo hatutasonga mbele..

Vitozo vya mafuta na miamala vimeletwa kiduchu tuu makelele ya kipumbavu utafikiri hizo pesa zinaenda kwa mtu binafsi wakati Nchi ina matatizo lukuki ya kutatua.

Sio tuu mafuta hadi bando na transactions cost ziko chini kuliko majirani wengine EAC ..
Bajeti ya 2020/2021 ya Tanzania ni zaidi ya 33t ambapo pesa ya matumizi ya kawaida ni zaidi ya 20t na pesa kwa ajili ya maendeleo ni zaidi ya 13t. Sasa kwa bajeti hiyo ambayo pesa ya matumizi ya kawaida ni karibu 80% ya bajeti na 20% ndio ya miradi ya maendeleo hapo kuna nini. Kiuhalisia watanzania hawakatai hizo Kodi au posho ila kinachoumiza ni pesa nyingi zinaenda kwenye mambo yasiomgusa mwananchi moja kwa moja(maendeleo) halafu bado wanawaongezea mzigo mwingine ndio maana karibu miaka yote ya uhuru tunapambana na changamoto zilezile
 
😀😀😀😀 ila nyie Watanzania,


Zambia kweli na Tanzania tutafunye assimilation,

ZASCO wachina wameichukua,

LUSAKA AIR PORT wachina wamechukua

ZABC wachina wameichukua

Sasa kweli unataka kucompare hizi nchi mbili kweli,?!
Rudi kwenye mstali wa bei ya mafuta
 
Watu wazima kama wewe wanalalamika wana sababu

Usijifanye wewe ndio mtu mzima zaidi ya watu wote unawaona watoto wadogo ni wa kupiga nyundo

Huna tofauti nao,infact upo kwenye low IQ percentile zaidi yao

Uongozi sio obvious questions unavamia tu ndio maana ulifeli mitihani yote shule upo humu unaongea umatako wa kupiga wanadamu watu wazima wenzio nyundo as if wewe una wisdom zaidi yao,self annointing lunatic

Matatizo ya jamii sio ya kurukia na ku-solve kirahisi hivyo kwa kupiga nyundo ndio maana mlivamia mitihani wakati unasoma ukafeli yote kabisa

Hawa ni human beings,wanalalamika wana sababu,kupiga nyundo kapige wanao na mkeo huko nyumbani kwako ambapo infact huna lolote ni miserable zaidi ya wananchi wengi tu

Nyumba yako ni hovyo,familia yako ni hovyo,uchumi wako ni hovyo,akili zako ni hovyo halafu upo humu self-annointed genius kuelekeza wananchi watu wazima wenzio wanyamaze matatizo yao..Huna uwezo huo

Na kufananisha nchi zingine na TZ ni kosa,kila nchi ina economic level yake,maisha ya mwananchi Kenya ni ghali kuliko wako,kila nchi ina level za maisha yake,huwezi fananisha bei za bidhaa kote ni sawa

Tanzania kwenyewe unga Mwanza ni bei tofauti na DSM...halafu upo humu unafananisha gharama za maisha za nchi tofauti kabisa zenye economic peggings tofauti kabisa....

Na pia punguza usenge wa kugeuza wananchi ni watoto wadogo unaweza wachapa au kupiga "nyundo" unavyotaka,punguani wewe..kapige wanao na mkeo kwanza maana hata management ya economics of your own house and family unachezea F to begin with!Weka bank statements hapa to deny this


Mkuu Msamehe Opportunity Cost ,
Nadhani ni hasira katika kutetea ukweli,

Hoja ya tofauti in economic levls inamalizwa na Currency rate,

Lita moja ya mafuta Kenya ni Ksh 134.72

Hii Ksh 134.72 kwa Tanzania ni Tshs 2,831 lakini thamani iko sawasawa katika nchi zote mbili,

Maana yake shilingi ya Kenya ina nguvu kuliko ile ya Tanzania lakini Tanzania ,

Pamoja na Tanzania pesa yake kuwa chini bado na mafuta pia yako chini ndio maana pakawa exchange rate ili kustandardize hiyo tofauti ya kiuchumi yakila nchi,


TANZANIA MAFUTA NI CHINI SANA TUMSHUKURU MAMA SAMIA,
 
Migori, Kenya



Bei ya mafuta Tanzania yasababisha wakaazi wa maeneo ya Migori-Isebania Kenya kuingia barabarani

 
Bajeti ya 2020/2021 ya Tanzania ni zaidi ya 33t ambapo pesa ya matumizi ya kawaida ni zaidi ya 20t na pesa kwa ajili ya maendeleo ni zaidi ya 13t. Sasa kwa bajeti hiyo ambayo pesa ya matumizi ya kawaida ni karibu 80% ya bajeti na 20% ndio ya miradi ya maendeleo hapo kuna nini. Kiuhalisia watanzania hawakatai hizo Kodi au posho ila kinachoumiza ni pesa nyingi zinaenda kwenye mambo yasiomgusa mwananchi moja kwa moja(maendeleo) halafu bado wanawaongezea mzigo mwingine ndio maana karibu miaka yote ya uhuru tunapambana na changamoto zilezile
Mkuu kwa Nchi zinazoendelea kama yetu bajeti ya utawala lazima iwe kubwa,halafu utawala wenyewe sehemu ya hizo pesa zinagharamia elimu,afya,maji nk hivi vitu ni investment kwenye social services return yake ni indirect .

Kwa hiyo usidhani hiyo 20 T yote inaingia kwenye salary ,posho na vitu kama hivyo .
 
Back
Top Bottom