CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 4,989
- 4,102
- Thread starter
- #21
Lete hiyo source yako,Unavyosema Tanzania bei ya mafuta iko chini nawakati Burundi ndo iko chini unamaanisha nin
Lete hiyo source yako,Unavyosema Tanzania bei ya mafuta iko chini nawakati Burundi ndo iko chini unamaanisha nin
Lete source yako acha maneno mengi,Ni muongo Burundi na Zambia bei zao za mafuta zipo chini Zaid ya Tanzania na hajawataja
Hahaha, Burundi ni kama Afghan ya EA, hamna kitu kule!! Ni kama failed state flani!! Ndiyo maana Mwigulu alisema kama huridhishwi na TZ uende Burundi (Why aitaje Burundi na Siyo Rwanda, Uganda or Kenya?).Mbona hujaitaja burundi acha propaganda za kitoto
Kama wewe unavyotumia kucomment hapa,Mbona unatumia nguvu nyingi sana
Ni muongo Burundi na Zambia bei zao za mafuta zipo chini Zaid ya Tanzania na hajawataja
😀😀😀😀 ngoja alete hiyo source yakeHahaha, Burundi ni kama Afghan ya EA, hamna kitu kule!! Ni kama failed state flani!! Ndiyo maana Mwigulu alisema kama huridhishwi na TZ uende Burundi (Why aitaje Burundi na Siyo Rwanda, Uganda or Kenya?).
Tuambie na mshahara wa mwalimu au Medical Doctor uko vipi Kenya na ulinganishe na Tanzania.
Opportunity Cost naungana na wewe mkuu, Tanzania tunadeka sanaHii Nchi ina watu wanaolia Lia Sana,walalamishi ,wakulaumu na wavivu wa kufikiri sasa ni kuwapuuza wakileta fyoko piga nyundo la sivyo hatutasonga mbele...
Anaeona maisha ni mabaya Tzn ahamie Nigeria,South Africa,Kenya,Guinea,Mali , Zimbabwe nk akaone moto na akadeke vizuri.Opportunity Cost naungana na wewe mkuu, Tanzania tunadeka sana
Sio kweli. Kipato kwa Tz (income) iko chini sana. Na ndio maana hata house girls waliopo Kenya wanatoka Tz sababu wa Kenya lazima umlipe mara 2, 3 au zaidi ya wage ya housegirls wanavyolipwa tanzania.Opportunity Cost naungana na wewe mkuu, Tanzania tunadeka sana
Soma hiyo stori vizuri,Watu mnaandika tu vitu na kusifia tu pasipo kufuata economic principles. Kwa mshahara wa Kenya ukilinganisha na Tanzania na kipato cha waTz.. hizo bei ziko juu sana. Na ndio maana waKenya hawalalamiki kama waTz .
Tanzania bei ndogo za vyakula na nyumba ya kukodi tuu. Kwa hio acha sana kusifia pasipo kuwa na uelewa mzuri.Anaeona maisha ni mabaya Tzn ahamie Nigeria,South Africa,Kenya,Guinea,Mali , Zimbabwe nk akaone moto na akadeke vizuri.
Hawalalamiki kama WaTz. WaTz wanalalamika zaidi na wanaumia zaidi. Ww unasoma magazeti? Mimi naenda Kenya sana na kukaa na waKenya sana kwa muda wa kutosha wa kuwaelewa na challenges zao. Ila ww unatoa info kutoka magazetini.Soma hiyo stori vizuri,
Nikweli hawalalamiki?....
DocJayGroup hoja yako ni nini?Sio kweli. Kipato kwa Tz (income) iko chini sana. Na ndio maana hata house girls waliopo Kenya wanatoka Tz sababu wa Kenya lazima umlipe mara 2, 3 au zaidi ya wage ya housegirls wanavyolipwa tanzania.
Sitaki maneno hamia kwenye hizo Nchi alafu kanusha kwa facts kwamba yaliyosemwa hapo juu bei ni kubwa kushinda majirani..Tanzania bei ndogo za vyakula na nyumba ya kukodi tuu. Kwa hio acha sana kusifia pasipo kuwa na uelewa mzuri.