Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya mafuta ya taa, diesel na Petrol Afrika Mashariki, Kenya bei juu

Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais wa kweli basi ni sasa, Mungu tujalie heri kuelekea 2025|30
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Sio kwamba baada ya kelele za humu ndio serikali imesikiliza? Toa takwimu za miezi ya nyuma uone; kuna magari ya Mbeya yalikua yanajaza mafuta Zambia; binafsi ningekuona wa maana kama ungeweka hivi, "mama Samia asikia kilio cha wananchi wake kuhusu bei ya mafuta, hatimae kapunguza" Second question, hiyo bei ulioweka hapa kwa Kenya just mfano, ni miji gani ambayo wamefanyia sampling? Cause it sound like kwa Tanzania umeangalia bei ya mafuta kwa Dar, hope na Kenya iwe Mombasa na sio Nairobi hapo tutakwenda sawa, vinginevyo hizi nazo ni propaganda cause hiyo bei ya miji ya Kenya ulioweka hapa ndio bei za mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Mara nk yaani mikoa ambayo ipo mbali na bandari ya Dar or Tanga
 
Back
Top Bottom