Tanzania yaomba EAC iingilie kati katika kuzuia mipango ya Kenya kujenga bwawa Mara

Huwa nasema mara nyingi Kenya ni jirani siyo rafiki...rafiki yetu ni Burundi na Uganda. Wakawaleta mpka BBC World Service pale Mpingo House ku mark tsiuze ile stock ila wanashindwa kuzuia au kupiga the same kampeni kwa makaburu wa SA wanao vuna pembe za kifaru na kuziuza Far east
 
Unaota ukiwa umelala nyikani!
Siku mnajaribu mess na Tz battle inaisha hata misa ya kwanza haijatoka...hatuombei maana mpumbavu hata umtwange ktk kinu uoumbavu wake haumuachi...unajigamba hapa wavaa makubadhi wanakusumbua!
 
Joto la jiwe......tangu lini siri za kenyan military zikawa hoja jf...
Hahaha kuna UZI humu JF wab254 mnajitamba kwa kupost picha za wanajeshi wenu wameshika silaha nzito nzito kama M4,M16 riffle and other current weapons equipments like night vision ... Lkn watz tukasema kwa tZ hatuna huo ustarabu wa wanajeshi wetu kupost picha na silaha nzito nzito.
 
The bigger and better than Tanzania hahaaa I like your courage neighbour ..
 
Kenya siyo rafiki ni jirani aliyetokea kama ajali tu. Hawatupendi hili liko wazi.
 
Ni kweli kabisa hawa jamaa sio marafikinninmajirani Mungu ametuweka karibu lkn ni watu wanaopenda kutuona tupo down. Ukikusanya tu series ya matukio yao kwetu ndio utaamini ...mfano tu walipotaka kutu sideline ktk eac nawakaja na ile kitu collision of willingness waka sign mikataba kamq ya ujenzi wa sgr ili waji link na nchi zinazotumia central corridor but God willing amezuia ilo ,tazama ss wanatakankuja na project yao ya serengeti yaan wanataka kudistrub ecosystem ya serengeti intentionally kuangamiza soko letu la utaliii lkn God pia atakwamisha hili we will see later.
 
You will never get F-16 before 2050. There is no country in Africa that has F-16 Except Egypt, you know nothing about this area.

Be informed that, TPDF can do whatever and whenever they want in marine and air space of Kenya, without any resistance.
Yaani hapa nilikuwa natafuta clearance ya Kenya kununua F-16 najiuliza ni lini wamepewa clearance kumbe huyu mkibera anaongelea myth hahaaa....halafu inabidi hawa jamaa ktk mission zile za Sudan na Congo tuchukue hata wawili waende wakaone tunavyopiga kazi on the field...

Kazi tuliomuonesha Albashir wa Sudan kipindi cha kikwete tungekuwa na mkenya mmoja around wangetuheshimu sana hawa jamaa
 
Kama wananchi tunatupiana maneno makali namna hii ss izi mambo ya political federation in EAC will it happen ?
We can't have that in near future Kenyans wanataka ardhi yao kwao asilimia kubwa imeshikwa na UhuRuto hahaaa... Tume ya Professor Wangwe ilibaini hilo mapema miaka kadhaa nyuma
 
Watanzania, sasa muona uchungu wa dunia kukwambia kuwa hli baya liache ukakaidi! Jiwe dunia imeomba Stiglers Gorge iachwe kwa uhifadhi wa dunia, yeye kakaidi. Leo analia na mto Mara! Jenga bwawa wakenya!
 
We can't have that in near future Kenyans wanataka ardhi yao kwao asilimia kubwa imeshikwa na UhuRuto hahaaa... Tume ya Professor Wangwe ilibaini hilo mapema miaka kadhaa nyuma
Iv kumbe ata VP ana miliki utajiri wa ardhi ? I thought he is the clean person in their country ... Bac watoe walau nusu ya ardhi yao kila mmoja ..
 
CoW ilikufa kifo cha kawaida. Kwanza hawa jamaa nahisi wana funded kampeni kbsaa ya kutu shade kimataifa...utakuta mkenya anahijiwa jambo fulani halafu atataja kitu chochote cha Tz kuwa kipo kwao. Sasa hiyo wanafanya kwa uwazi vipi ktk vyumba vya siri.
 
Hawa jamaa uelewa wao wa mambo ya kidunia ni mdogo sana, hawajipi muda wa kujifunza mambo kwa undani, wanachotaka ni kujifanya wanajua kila kitu ili waonekani wapo juu katika kila eneo. Huyu jamaa hujui lolote ndio sababu wenzake wametulia, huyu ni mgeni katika uga huu.

USA sio kama China na Urusi katika kuuza silaha, wana masharti Sana kama ambavyo wanaweka masharti katika kutoa misaada.

F-16 ni miongoni mwa ndege ambazo USA wameitengeneza kwa kutumia technology nzuri sana, wanajaribu sana kulinda technogy yao isiangukie mikononi mwa wachina na warusi, nchi yoyote ambayo ina ushirikiano na Urusi au China wa aina yoyote ile, kamwe hawezi kuuziwa vifaa vya kimarekani vya kivita ambavyo ni "Protected". Kenya ilivyochukuliwa na wachina kwa sasa, wasahau kuhusu F-16.
 
Unaota ukiwa umelala nyikani!
Siku mnajaribu mess na Tz battle inaisha hata misa ya kwanza haijatoka...hatuombei maana mpumbavu hata umtwange ktk kinu uoumbavu wake haumuachi...unajigamba hapa wavaa makubadhi wanakusumbua!
That is a pipe dream, we have the capability and the money to sustain a war with a non starter country like tanzania. We can flatten your world before we even launch our jets to complete the work. We have a professional army while you guys have a night guard squad that you call an army. Also notice while you started a trade war with kenya, only your exports to kenya have been hurt, you need us more than we need you. Our exports have increased and our military budget is now the largest in east africa. We have better equipment and better trained personnel.
 
Kenyans do not let these people lie to you. I have worked as a software consultant for Airtel, i was once sent into this country to beef up the technology team. These people are seriously incompetent and intellectually challenged. I ended up doing most of the work but i recommended to Nairobi that they shift the technology team to kenya or india. Recently i heard the only technology teams in Airtel are in Nairobi, Nigeria and IBM india. The other countries simply support what Kenya, Nigeria and India have made, they only report errors and we corrected them. I am so happy i finished that job and got out of that god awful country
 
Wametumwa kutingisha kiberitj kwa msuguano wa bwawa letu la stigilazi goji hawana lolote
 
Kenyans do not let these people lie to you. I have worked as a software consultant for Airtel, i was once sent into this country to beef up the technology team. These people are seriously incompetent and intellectually challenged. I ended up doing most of the work but i recommended to Nairobi that they shift the technology team to kenya or india. Recently i heard the only technology teams in Airtel are in Nairobi, Nigeria and IBM india. The other countries simply support what Kenya, Nigeria and India have made, they only report errors and we corrected them. I am so happy i finished that job and got out of that god awful country.
 
Wametumwa kutingisha kiberitj kwa msuguano wa bwawa letu la stigilazi goji hawana lolote
That white elephant, when will you guys learn that competing with kenya is like a competition between a bugatti and a donkey cart.Tanzania is the donkey cart in this race.
 
Wakenya endeleeni na ujenzi wa bwana..eneo mnalolitumia kwa ujenzi ni 0.3% ya hifadhi zote za Serengeti na Masai Mara..Kuwakumbusha tu mmechezewa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…