Tanzania yang'ara kwa amani duniani

Tanzania yang'ara kwa amani duniani

JINOME

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2017
Posts
958
Reaction score
1,427
TANZANIA YANG'ARA KWA AMANI DUNIANI
Ripoti ya Taasisi ya Uchumi na Amani (The Institute For Economic And Peace-IEP) inaonesha kuwa Tanzania inaongoza kwa amani na Utulivu kwa Nchi za Afrika Mashariki. Ripoti hiyo pia inaonesha Tanzania ni ya 9 katika Afrika, ya 54 kati ya 163 duniani, Uganda ya 105, Rwanda ya 113, Kenya ya 125, Burundi ya 141. Nchi za Afrika zilizo juu ya Tanzania kidunia ni pamoja na Siera Leone 39, Ghana 43, Malawi 48, Namibia 50.

=====

TANZANIA is the most peaceful and calm nation in East Africa and ninth in the continental ranking, according to the Global Peace Index (GPI) 2017 report.

The recently released report by the Institute for Economic and Peace (IEP) ranks the country 54 out of 163 most peaceful nations on earth, with South Sudan, Libya, Somalia and Central African Republic (CAR) ranked as the least peaceful nations on earth.

According to the annual global ranking, Tanzania has climbed up by three places in the index, amassing 1.876 points. According to the Index, Tanzania has lesser weapons imports, low level of violent crimes, homicide rates, political terror scale and decline in external conflicts fought.

The institute conducted its report on peace index, covering 163 nations and using 23 criteria to analyse the state of peace based on various sources.

The main considerable variance in ranking the countries across the GPI domain is the societal safety and security, ongoing domestic and international conflicts and militarisation.

According to the report, the state of peace in the previous year improved by 0.28, with 93 countries improving as 60 others dropped. Iceland remains the most peaceful country in the world, a position it has held since 2008. It is joined at the Index by New Zealand, Portugal, Austria and Denmark.

Syria is the least peaceful country on earth, preceded by Afghanistan, Iraq, Yemen and South Sudan. 93 countries recorded improvements in the GPI while 68 deteriorated.

As Tanzania tops the EAC, Uganda is ranked at 105, Rwanda 113, Kenya 125 as Burundi is ranked 141 out of 163 nations analysed. African countries in the top ten most peaceful nations are Sierra Leone at 39 position, Ghana (43), Malawi (48), Namibia (50), Senegal (60), Equatorial Guinea (61), Togo (63), Guinea (69), Morocco (75) and Swaziland (77).

According to the report, the main reason for the deterioration of peace in the countries ranked bottom is deteriorating social peace mostly in Sub-Saharan due to increasing political and terrorism acts.

The report also identifies America as the leading with five countries on the top positions on peace while the Middle East and Sub-Saharan Africa deteriorate. In 44 Sub-Saharan countries, 22 countries had peace dropping.

They include Ethiopia, Burundi, Mali and Lesotho due to political and terrorism violence.

According to the findings, the economic impact of violence led to loss of 1.04 trillion US dollars in the World as the spending on peace improvement reached 10 billion US dollars.

IEP is an independent, non-partisan dedicated to shifting the world's focus to peace as a positive, achievable and tangible measure of human well-being and progress.
Tanzania
Govt Orders South Africa Buses as Dar Buys in Nairobi

Kenyan fabricator of passenger vehicle bodies Labh Singh Harnam Singh (LSHS) has been hired to build high-capacity buses… Read more »

Read the original article on Daily News.

Tanzania: Dar Shines in Global Peace Ranking
 
Inang'ara kwa amani Duniani au Afrika Mashariki?

Kunga'ra duniani na kung'ra locally vitu tofauti kabisa...Tanzania inaweza kuwa na amani ikilinganishwa na nchi zinazoizunguka, ila kwa dunia haipo

Hao wanaowasifia kwa amani si ndio waliwakosoa kwa mauaji ya watu juzi mkawap
 
Hongera pekee iende kwa vyama vya upinzani manake mengine yote yanayopoteza amani nchi zingine na Wapinzani wa Tanzania wanafanyiwa; lakini for the sake of amani yetu, wanaamua kutumia busara ili kutoivuruga nchi!

Maalim Seif amenyang'anywa ushindi mchana kweupe lakini badala ya kuwahamasisha wafuasi wa CUF kupigania ushindi wao; ndo kwanza akawahamasisha watulie!

Ni nani asiyejua hicho ni moja ya vyanzo vya uvurugikaji wa amani Africa?

Mbowe akaitisha UKUTA na watu wakahamasika! Lakini kwa kuchelea UKUTA ungevuruga amani; Mbowe aka-call off dakika za mwisho!!

Tanzania ni moja ya nchi chache sana Africa ambako, moja ya viongozi waandamizi nchini wanaponea chupuchupu kuuawa lakini bado viongozi wakuu wanawapoza wafuasi!!

Hongereni Vyama vya Upinzani na Wafuasi wenu manake pamoja na kwamba serikali imeoonesha dalili zote za kidhalimu na kupenda damu za raia wasio na hatia; nyie kwa busara zenu mmeepusha kutoa kafara ya damu za wanadamu kwa Mazimwi yala watu!

God bless Tanzania!
 
Wanasema tanzania ni moja wapo ya nchi dunia ambazo wananchi wake wanaongoza kwa kutokuwa na furaha kabisa. na tena wamezidiwa hadi na congo.

Halafu tena hiyo hiyo tanzania ndio nchi inaongoza kwa amani.

Hivi Hilo swala linawezekana vipi?
 
Ukisoma vigezo vilivyotumika huwezi kushangaa wala kujisifu. Vigezo ni:

Uingizaji silaha, uhalifu mkubwa, mauaji, vita na migogoro na mataifa mengine.

Nadhani point zilizoongezeka zimesababishwa na urafiki na Rwanda kwa sasa ukilinganisha na zamani.

Hivyo ni vigezo vilivyowekwa na hiyo taasisi lakini siamini kama ni vigezo sahihi au vigezo pekee vinavyostahili kutumika.
 
JINOME naikmbuka ttarehe 26/4/2018 serikali hii inaogopa raiya wake sana . yani badala ya maandamano ya mange yakawa maandamano ya polisiiiii. mkubwa kaingia uwanja wa jamhuri akiwa uvunguni mwa siti ya gari hahahahaha
 
TANZANIA YANG'ARA KWA AMANI DUNIANI
Ripoti ya Taasisi ya Uchumi na Amani (The Institute For Economic And Peace-IEP) inaonesha kuwa Tanzania inaongoza kwa amani na Utulivu kwa Nchi za Afrika Mashariki. Ripoti hiyo pia inaonesha Tanzania ni ya 9 katika Afrika, ya 54 kati ya 163 duniani, Uganda ya 105, Rwanda ya 113, Kenya ya 125, Burundi ya 141. Nchi za Afrika zilizo juu ya Tanzania kidunia ni pamoja na Siera Leone 39, Ghana 43, Malawi 48, Namibia 50.

=====

TANZANIA is the most peaceful and calm nation in East Africa and ninth in the continental ranking, according to the Global Peace Index (GPI) 2017 report.

The recently released report by the Institute for Economic and Peace (IEP) ranks the country 54 out of 163 most peaceful nations on earth, with South Sudan, Libya, Somalia and Central African Republic (CAR) ranked as the least peaceful nations on earth.

According to the annual global ranking, Tanzania has climbed up by three places in the index, amassing 1.876 points. According to the Index, Tanzania has lesser weapons imports, low level of violent crimes, homicide rates, political terror scale and decline in external conflicts fought.

The institute conducted its report on peace index, covering 163 nations and using 23 criteria to analyse the state of peace based on various sources.

The main considerable variance in ranking the countries across the GPI domain is the societal safety and security, ongoing domestic and international conflicts and militarisation.

According to the report, the state of peace in the previous year improved by 0.28, with 93 countries improving as 60 others dropped. Iceland remains the most peaceful country in the world, a position it has held since 2008. It is joined at the Index by New Zealand, Portugal, Austria and Denmark.

Syria is the least peaceful country on earth, preceded by Afghanistan, Iraq, Yemen and South Sudan. 93 countries recorded improvements in the GPI while 68 deteriorated.

As Tanzania tops the EAC, Uganda is ranked at 105, Rwanda 113, Kenya 125 as Burundi is ranked 141 out of 163 nations analysed. African countries in the top ten most peaceful nations are Sierra Leone at 39 position, Ghana (43), Malawi (48), Namibia (50), Senegal (60), Equatorial Guinea (61), Togo (63), Guinea (69), Morocco (75) and Swaziland (77).

According to the report, the main reason for the deterioration of peace in the countries ranked bottom is deteriorating social peace mostly in Sub-Saharan due to increasing political and terrorism acts.

The report also identifies America as the leading with five countries on the top positions on peace while the Middle East and Sub-Saharan Africa deteriorate. In 44 Sub-Saharan countries, 22 countries had peace dropping.

They include Ethiopia, Burundi, Mali and Lesotho due to political and terrorism violence.

According to the findings, the economic impact of violence led to loss of 1.04 trillion US dollars in the World as the spending on peace improvement reached 10 billion US dollars.

IEP is an independent, non-partisan dedicated to shifting the world's focus to peace as a positive, achievable and tangible measure of human well-being and progress.
Tanzania
Govt Orders South Africa Buses as Dar Buys in Nairobi

Kenyan fabricator of passenger vehicle bodies Labh Singh Harnam Singh (LSHS) has been hired to build high-capacity buses… Read more »

Read the original article on Daily News.

Tanzania: Dar Shines in Global Peace Ranking
Amani isiyokuwa na tabasamu sio amani..kanuni za amani ni lazima zi reflect hata kwa nje..amani iliyojaa manung'uniko huwezi kuita amani.kwasasa amani tuliyonayo ni ya kulazimishwa kufunga midomo lia ndani kwa ndani
 
Back
Top Bottom