Tanzania yajibu Baraza la Haki la Umaja wa Mataifa yalitokea Oktoba 29, 2025. Hatua zilizochukuliwa zililenga kuzuia vurugu, kulinda utulivu

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,743
Reaction score
2,601

Ni kweli wamejibu lakini vipiJe, hatua za dola zilikuwa za lazima na zenye uwiano kwa mujibu wa sheria za kimataifa?

Lakini pia mjadala huu unaonyesha mvutano ulinzi wa haki za kiraia, huku athari zake zikiweza kugusa diplomasia na taswira ya nchi kimataifa.
============
Geneva- Uswisi. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetumia haki yake ya kujibu katika Kikao cha 61 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, kujibu kauli zilizotolewa na Jumuiya ya Ulaya, pamoja na nchi za Uingereza, Uswisi, Sweden, Ireland, Ubelgiji na Norway, pamoja na asasi za kimataifa za Human Rights Watch na Amnesty International kuhusu matukio yaliyohusiana na Uchaguzi Mkuu wa Tanzania.

Akizungumza katika kikao hicho mjini Geneva Machi 2, 2026, Mwakili wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Geneva Uswisi, Dk Abdallah Possi amesema Serikali imesikitishwa na kile ilichokiita kauli zenye kuchagua matukio bila kuzingatia muktadha na chanzo chake, hususan madai yanayohusu vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 wakati wa Uchaguzi Mkuu.

Tanzania ilikumbwa na vitendo vya vurugu vilivyolenga kuharibu vituo vya polisi, ofisi za serikali za mitaa, miundombinu ya usafiri wa umma pamoja na mali za watu binafsi. Serikali imesisitiza kuwa matukio hayo hayakuwa ya bahati mbaya, bali yalipangwa kwa lengo la kuvuruga mchakato wa kikatiba na kudhoofisha utaratibu wa uchaguzi.

“Tanzania inapinga vikali madai yaliyotolewa na baadhi ya washirika wa kimataifa, ambao kwa makusudi wamefumbia macho chanzo cha matukio hayo,” ameeleza.

Serikali imeeleza kuwa demokrasia inahitaji kulinda haki na kuheshimu utawala wa sheria, na kwamba vitendo vya vurugu haviwezi kuchukuliwa kuwa ni ushiriki halali wa kisiasa. Aidha, imeeleza kuwa ni wajibu wa kikatiba wa dola kulinda utulivu wa umma, mfumo wa kikatiba na usalama wa wananchi wake.

Katika kuimarisha uwazi na uwajibikaji, Serikali ilibainisha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aliteua Tume Huru ya Uchunguzi kwa mujibu wa sheria ili kuchunguza matukio yaliyojitokeza katika muktadha wa uchaguzi huo.

Tume hiyo, kwa mujibu wa taarifa, inafanya kazi kwa uhuru na imepewa jukumu la kubaini ukweli pamoja na kupendekeza hatua zinazofaa. Baada ya nyongeza ya muda mfupi, Tume inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake ifikapo Aprili 3, 2026.

Serikali imeeleza kuwa matokeo ya Tume yanatarajiwa kutoa mwongozo kuhusu mipango ya maridhiano ya kitaifa pamoja na mageuzi ya kikatiba na kitaasisi yatakayofuata.
 
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetetea hatua zilizochukuliwa kulinda amani wakati wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, ikisisitiza kuwa zilikuwa ndani ya mipaka ya sheria za nchi.

Akizungumza katika kikao cha 61 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kilichofanyika Geneva Machi 2, 2026, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Ofisi za Umoja wa Mataifa mjini humo, Abdallah Possi, alisema serikali imesikitishwa na kauli za baadhi ya washirika wa kimataifa na mashirika ya haki za binadamu kuhusu matukio yaliyoambatana na uchaguzi huo.

Alieleza kuwa Tanzania, kama nchi huru, ina wajibu wa kulinda amani ya umma, mfumo wa kikatiba na usalama wa wananchi wake, akibainisha kuwa hatua zilizochukuliwa zililenga kuzuia vurugu, kulinda utulivu na kudumisha amani kwa mujibu wa sheria za nchi.
 
Mmewajibu wa nini?
 
Weak!

You don’t respond by wantonly killing people.

They killed innocent people inside their homes.

They killed innocent children.

They killed innocent pregnant women.

The killed anybody on-site!

They are genocidal murderers.
 
Jaji Mohamed Chande Othman mwenyekiti wa Tume ya Samia kuhusu October 29, naye akiwa Geneva, anaonekana ana kazi nyingi na kofia kibao kiasi ameacha yale aliyotumwa na Samia ili atumikie wadhifa wake wa Umoja wa Mataifa alipokuwa akitoa muktasari ukiukwaji wa haki na mauaji Sudan.

Si ajabu ndiyo maana wakaomba siku 42 za ziada kukamilisha kazi ya Tume ya Samia maana jaji Mohamed Chande Othman ana majukumu kibao

Geneva, UN
Human Rights Council
February 26, 2026

Sudan | "The situation around El-Fasher exhibits clear hallmarks of genocide by the Rapid Support Forces," the Chair of the Independent International Fact-Finding Mission for the country, Mohamed Chande Othman, told the United Nations Human Rights Council...

View: https://m.youtube.com/shorts/1MbhjpRF0FE
 
Geneva

March 3, 2026
HRC 61

WE HEARD A LOT OF SMOKE SCREEN AND LIES FROM SOME OF REPRESENTATIVES
On 3 March 2026, Mary Lawlor, Special Rapporteur on human rights defenders, addressed the Human Rights Council during its 61st session in Geneva. It was the final presentation Ms. Lawlor made to the Council at the conclusion of her six-year term.

View: https://m.youtube.com/watch?v=d_iqR5ewKwU
 
March 3, 2026

Q&A: new Charter of Rights of Victims and Survivors of Torture

View: https://m.youtube.com/watch?v=Bfmp06Z4DZY

United Nations Office at Geneva

On 3 March 2026, Alice Jill Edwards, Special Rapporteur on torture and other cruel, inhuman or degrading treatment or punishment, met the media to introduce her proposal for a new victim-centred “Charter of Rights of Victims and Survivors of Torture.” The press conference followed the Special Rapporteur's appearance before the Human Rights Council the preceding day, 2 March 2026.

Source HRC 61 : UN Human Rights Council
 
Jaji Mohamed Chande Othman mwenyekiti wa Tume ya Samia kuhusu October 29, naye akiwa Geneva, anaonekana ana kazi nyingi na kofia kibao kiasi ameacha yale aliyotumwa na Samia ili atumikie wadhifa wake wa Umoja wa Mataifa alipokuwa akitoa muktasari ukiukwaji wa haki na mauaji Sudan.

Si ajabu ndiyo maana wakaomba siku 42 za ziada kukamilisha kazi ya Tume ya Samia maana jaji Mohamed Chande Othman ana majukumu kibao

Geneva, UN
Human Rights Council
February 26, 2026

Sudan | "The situation around El-Fasher exhibits clear hallmarks of genocide by the Rapid Support Forces," the Chair of the Independent International Fact-Finding Mission for the country, Mohamed Chande Othman, told the United Nations Human Rights Council...

View: https://m.youtube.com/shorts/1MbhjpRF0FE

Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29, 2025 yaongezewa muda mpaka Aprili 3, 2026​

Ni kweli wamejibu lakini vipiJe, hatua za dola zilikuwa za lazima na zenye uwiano kwa mujibu wa sheria za kimataifa?

Lakini pia mjadala huu unaonyesha mvutano ulinzi wa haki za kiraia, huku athari zake zikiweza kugusa diplomasia na taswira ya nchi kimataifa.
============
Geneva- Uswisi. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetumia haki yake ya kujibu katika Kikao cha 61 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, kujibu kauli zilizotolewa na Jumuiya ya Ulaya, pamoja na nchi za Uingereza, Uswisi, Sweden, Ireland, Ubelgiji na Norway, pamoja na asasi za kimataifa za Human Rights Watch na Amnesty International kuhusu matukio yaliyohusiana na Uchaguzi Mkuu wa Tanzania.

Akizungumza katika kikao hicho mjini Geneva Machi 2, 2026, Mwakili wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Geneva Uswisi, Dk Abdallah Possi amesema Serikali imesikitishwa na kile ilichokiita kauli zenye kuchagua matukio bila kuzingatia muktadha na chanzo chake, hususan madai yanayohusu vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 wakati wa Uchaguzi Mkuu.

Tanzania ilikumbwa na vitendo vya vurugu vilivyolenga kuharibu vituo vya polisi, ofisi za serikali za mitaa, miundombinu ya usafiri wa umma pamoja na mali za watu binafsi. Serikali imesisitiza kuwa matukio hayo hayakuwa ya bahati mbaya, bali yalipangwa kwa lengo la kuvuruga mchakato wa kikatiba na kudhoofisha utaratibu wa uchaguzi.

“Tanzania inapinga vikali madai yaliyotolewa na baadhi ya washirika wa kimataifa, ambao kwa makusudi wamefumbia macho chanzo cha matukio hayo,” ameeleza.

Serikali imeeleza kuwa demokrasia inahitaji kulinda haki na kuheshimu utawala wa sheria, na kwamba vitendo vya vurugu haviwezi kuchukuliwa kuwa ni ushiriki halali wa kisiasa. Aidha, imeeleza kuwa ni wajibu wa kikatiba wa dola kulinda utulivu wa umma, mfumo wa kikatiba na usalama wa wananchi wake.

Katika kuimarisha uwazi na uwajibikaji, Serikali ilibainisha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aliteua Tume Huru ya Uchunguzi kwa mujibu wa sheria ili kuchunguza matukio yaliyojitokeza katika muktadha wa uchaguzi huo.

View attachment 3551945
Tume hiyo, kwa mujibu wa taarifa, inafanya kazi kwa uhuru na imepewa jukumu la kubaini ukweli pamoja na kupendekeza hatua zinazofaa. Baada ya nyongeza ya muda mfupi, Tume inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake ifikapo Aprili 3, 2026.

Serikali imeeleza kuwa matokeo ya Tume yanatarajiwa kutoa mwongozo kuhusu mipango ya maridhiano ya kitaifa pamoja na mageuzi ya kikatiba na kitaasisi yatakayofuata.
Majibu ya Tanzania yangeonesha pia silaha walizokuwanazo waandamanaji ili kulipa jeshi haki ya kuua.
 
Pamoja na haya yote, Sote tutatejea mavumbini tu. Serikali ilichokifanya tarehe 29 Octoba hakiendani na majibu wanayotoa sasa.

Yaliyofanyika mpaka sasa dhamira zao ndio zina majibu. Tunaishi mara moja tu na uhai wa binadamu una thamani kuliko hii inayoitwa Demokrasia.
 
Icc lazima hiu haisaidii
Ni kweli wamejibu lakini vipiJe, hatua za dola zilikuwa za lazima na zenye uwiano kwa mujibu wa sheria za kimataifa?

Lakini pia mjadala huu unaonyesha mvutano ulinzi wa haki za kiraia, huku athari zake zikiweza kugusa diplomasia na taswira ya nchi kimataifa.
============
Geneva- Uswisi. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetumia haki yake ya kujibu katika Kikao cha 61 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, kujibu kauli zilizotolewa na Jumuiya ya Ulaya, pamoja na nchi za Uingereza, Uswisi, Sweden, Ireland, Ubelgiji na Norway, pamoja na asasi za kimataifa za Human Rights Watch na Amnesty International kuhusu matukio yaliyohusiana na Uchaguzi Mkuu wa Tanzania.

Akizungumza katika kikao hicho mjini Geneva Machi 2, 2026, Mwakili wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Geneva Uswisi, Dk Abdallah Possi amesema Serikali imesikitishwa na kile ilichokiita kauli zenye kuchagua matukio bila kuzingatia muktadha na chanzo chake, hususan madai yanayohusu vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 wakati wa Uchaguzi Mkuu.

Tanzania ilikumbwa na vitendo vya vurugu vilivyolenga kuharibu vituo vya polisi, ofisi za serikali za mitaa, miundombinu ya usafiri wa umma pamoja na mali za watu binafsi. Serikali imesisitiza kuwa matukio hayo hayakuwa ya bahati mbaya, bali yalipangwa kwa lengo la kuvuruga mchakato wa kikatiba na kudhoofisha utaratibu wa uchaguzi.

“Tanzania inapinga vikali madai yaliyotolewa na baadhi ya washirika wa kimataifa, ambao kwa makusudi wamefumbia macho chanzo cha matukio hayo,” ameeleza.

Serikali imeeleza kuwa demokrasia inahitaji kulinda haki na kuheshimu utawala wa sheria, na kwamba vitendo vya vurugu haviwezi kuchukuliwa kuwa ni ushiriki halali wa kisiasa. Aidha, imeeleza kuwa ni wajibu wa kikatiba wa dola kulinda utulivu wa umma, mfumo wa kikatiba na usalama wa wananchi wake.

Katika kuimarisha uwazi na uwajibikaji, Serikali ilibainisha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aliteua Tume Huru ya Uchunguzi kwa mujibu wa sheria ili kuchunguza matukio yaliyojitokeza katika muktadha wa uchaguzi huo.

View attachment 3551945
Tume hiyo, kwa mujibu wa taarifa, inafanya kazi kwa uhuru na imepewa jukumu la kubaini ukweli pamoja na kupendekeza hatua zinazofaa. Baada ya nyongeza ya muda mfupi, Tume inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake ifikapo Aprili 3, 2026.

Serikali imeeleza kuwa matokeo ya Tume yanatarajiwa kutoa mwongozo kuhusu mipango ya maridhiano ya kitaifa pamoja na mageuzi ya kikatiba na kitaasisi yatakayofuata.
 
kujibu kauli zilizotolewa na Jumuiya ya Ulaya, pamoja na nchi za Uingereza, Uswisi, Sweden, Ireland, Ubelgiji na Norway, pamoja na asasi za kimataifa za Human Rights Watch na Amnesty International kuhusu matukio yaliyohusiana na Uchaguzi Mkuu wa Tanzania.
Mawasilisho wa Uingereza mjini Geneva yalikuwa haya hapa chini kuhusu Tanzania :

UK Human Rights Council 61 : UK Statement for the Item 2 General Debate​

UK Statement for the Item 2 General Debate. Delivered by the UK's Human Rights Ambassador, Eleanor Sanders.
Published2 March 2026

Location:GenevaDelivered on:2 March 2026 (Transcript of the speech, exactly as it was delivered)
Eleanor Sanders

Mr President,

We are grateful for the High Commissioner’s update.

The humanitarian situation in Gaza remains of serious concern. We urge Israel to allow and facilitate rapid and unimpeded passage of humanitarian aid in line with international law. We call on all parties to implement the 20-point peace plan and respect the ceasefire. In the West Bank, rising violence and settlement activity risk instability and undermines prospects for peace.

Tanzania saw shocking violence following its elections in October, including evidence of extra-judicial killings and concealment of dead bodies. There must be an independent, transparent and inclusive investigation of these events to ensure accountability and that the fundamental freedoms and constitutional rights of all Tanzanians are protected.

We appreciate your efforts to engage China, including on the findings of his Office’s Xinjiang Assessment from 2022. But we are concerned by continued evidence of China’s transition from using re-education camps to using prisons and labour transfer schemes. We call on China to address reports of forced labour, and restrictions on religious and cultural freedoms; China must release all arbitrarily detained individuals.

Finally, we support unequivocally Ukraine’s sovereignty, independence and territorial integrity. We continue to support the work of UN mechanisms and their reporting - those responsible for violations and abuses of human rights must be held accountable.

Thank you.
Published 2 March 2026
 
Back
Top Bottom