Tanzania yaizidi Palestine ubora wa soka.

pakaywatek

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,642
6,267
FIFA imetoa viwango vya soka duniani Argentina imeshika nafasi ya kwanza England nafasi ya kumi, Uganda imeshika nafasi ya 72, huku Tanzania ikishika nafasi ya 131 ikiipiku Palestine ambayo ipo nafasi ya 132.
 
Duh kuna mlinganisho mwingine jama!! Eti tumeipiga gap palestina kisoka dah!!

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
FIFA imetoa viwango vya soka duniani Argentina imeshika nafasi ya kwanza England nafasi ya kumi, Uganda imeshika nafasi ya 72, huku Tanzania ikishika nafasi ya 131 ikiipiku Palestine ambayo ipo nafasi ya 132.
Top ten:
1. Argentina
2.Belgium
3.Chile
4.Colombia
5.Germany
6.Spain
7.Brazil
8.Portugal
9.Uruguay
10.England
 
Hata kama tungewazidi Waingereza tatizo sio kumpita nani...tatizo namba 131 ni mbali sana!
 
Top ten:
1. Argentina
2.Belgium
3.Chile
4.Colombia
5.Germany
6.Spain
7.Brazil
8.Portugal
9.Uruguay
10.England
Africa top ten:
Africa FIFA
1.Algeria 33
2.Côte de vore 34
3.Ghana 38
4.Senegal 43
5.Egypt. 44
6.carp verde 47
7.Tunisia 47
8.DR, Congo 51
9.Guinea 58
10.Congo 59
 
...hawa Cape Verde yaani tulikuwaga tunajipigia tu,dah,kweli siku hazigandi!,leo wako nafasi ya 6 halafu sisi 131!,halafu mnasema tumepanda,uuh! g9t!
 
Back
Top Bottom