Tanzania yaipa kichapo tena Kenya, yapeleka bidhaa nyingi Kenya

Anamzidi kwa mbali sana yule jamaa
 
Kwa Wale Wachumi, hii ina impact gani kwenye our currency (tz vs ke).
 
Ni kweli tumewazidi ila tofauti yetu na wao, wao tunawapelekea zaidi malighafi kama mbao, mahindi wakati wao wanaleta bidhaa ambazo zipo tayari .
ukiangalia kwa umakini tunawatengenezea ajira kubwa kwao badala ya sisi kuwauzia mahindi tulitakiwa kuwauzia unga ili pumba zitengeneze chakula pia badala ya kuwapelekea mbao tulipaswa kuwapelekea bidhaa zinazotokana na mbao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…