Tanzania yaingia tano bora kwa wingi wa watalii Afrika

Kismart ndo kitu gani mkuu. Au ki simu kikubwa Kama vile iPhone, itel na infinix. Au mi nimepitwa na wakati!!
Mkuu huo ni msamiati ulikuwa unatumiwa na wahenga " kuwa na kismati" ni sawa sawa na nyota yako ya bahati kung'aa na mambo yako kunyooka.
Hivyo awamu hii ya 6 chini ya Mama mambo yamenyooka....yanenda bila shida
 
We konokono hebu acha ujinga saa zingine. Unafurahia nchi kuingia kwenye 5 bora za utalii wakati nchi yako inaongoza kwa vivutio afrika? Jinga sana wewe. Badala ujilaumu na kuwalaumu watawala kwa kushindwa kuwa kwenye moja bora we unafurahia kuingia tano bora ilhali unaongoza kwa vivutio

Hizo nchi 4 zingine zina vivutio gani zaidi ya akili na ujanja wa watawala tu
Mzee wa MIGA ndiyo hana akili
 
Kismart ndo kitu gani mkuu. Au ki simu kikubwa Kama vile iPhone, itel na infinix. Au mi nimepitwa na wakati!!
Rais wetu ndani ya kipindi kifupi kaifungua Nchi kila kona.
halafu pia Rais wetu naweza kusema "ana kismati"

Da kwahiyo mbowe ndo hivyo tenayupo segerea ananyea debe wakati tundu lisu anakula bata na mabasha wakizungu
Siku ukimiminiwa risasi hata tatu tu ndo utajua machungu ya binadamu mwenzio. Lisu walitaka kumuua halafu ulitaka abaki hapahapa ili auawe vizuri? Kweli ubinadamu kazi
 
..sekta ya utalii duniani kote ina hali ngumu sana kutokana na changamoto za covid19.

..hii sekta inahitaji msaada kwa sasa hivi, huu sio muda wa kusifiana.
 
Rais wetu ndani ya kipindi kifupi kaifungua Nchi kila kona.
halafu pia Rais wetu naweza kusema "ana kismati"

Burigi-Chato zingatia hilo, wangetaja na ule nkakati wa Mfalme wa Morocco. Hakuna royall tuwaa hapo. Siku atakapo gundua wajanja walifanya ajitenge na JPM ili umaarufu wake uwe sifuri atakuwa amechelewa sana. U- Tube watching 46.
 
Kismart ndo kitu gani mkuu. Au ki simu kikubwa Kama vile iPhone, itel na infinix. Au mi nimepitwa na wakati!!

Siku ukimiminiwa risasi hata tatu tu ndo utajua machungu ya binadamu mwenzio. Lisu walitaka kumuua halafu ulitaka abaki hapahapa ili auawe vizuri? Kweli ubinadamu kazi
Alikuwa anatetea wezi wa dhahabu yetu huyo
 
Burigi-Chato zingatia hilo, wangetaja na ule nkakati wa Mfalme wa Morocco. Hakuna royall tuwaa hapo. Siku atakapo gundua wajanja walifanya ajitenge na JPM ili umaarufu wake uwe sifuri atakuwa amechelewa sana. U- Tube watching 46.
 
Gazeti la the citizen leo limekuja na taarifa inayoonyesha kuwa Tanzania imetajwa na tovuti moja kutoka Marekani kuwa ni moja ya nchi 5 bora kwenye utalii ikiwa na vivutio bora kabisa duniani kama mbuga ya Serengeti na Burigi - chato zinazovuta watalii wengi sana kwa mwaka.

My take
Hii taarifa ni mwiba mchungu kwa mzee wa MIGA na gaidi gang wote maana walipinga ununuzi wa ndege na waliombea sana zikamatwe.View attachment 2067810
Mod muwe mnakataza na kutoa onyo kwa wachafuzi kama hawa.. Birgi chato imetajwa wapi ? Hapo? Kwa wanyama hao waliohamishwa toka serengeti?! Na ngorongoro?
NB. Habari yenyewe full hii hapa
 
Back
Top Bottom