MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,238
- 50,411
Samahani ndugu zetu upande wa kusini, lakini hili tutalipigia makelele tu maana ni unyama uliokithiri. Najua inakua chukizo haswa kwa akina bagamoyo wanaotaka mambo kama haya yawe yanafukiwa bila kukemewa. Lakini naona yapigiwe makelele hadi iwe chukizo na kero kwa kila mmoja, kiasi kwamba wanaofanya huu unyama wakose amani.
Najua muda usio mrefu mtaanza kujibu eti na Turkana kuna njaa, mara Kenya kuna watu wanafanya ngono na wanyama, kama ilivyo kawaida yenu, lakini nionavyo mimi bora nimgegede mbuzi au punda lakini nisimnyofoe mtoto wa albino viungo. Tulipigie makelele hili.
Published on Jun 20, 2016
Tanzania imeendelea kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kwa mauwaji ya watu wenye Ualbino kunakochangiwa na imani za kishirikina kwa mujibu wa taarifa mbalimbali zinazoendelea kutolewa na tume ya haki za binadamu ya umoja wa mataifa.