Tanzania yachafuka: Machafuko Burundi

Tanzania yachafuka: Machafuko Burundi

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
20,006
Reaction score
37,919
Mtu mmoja ambaye jina lake alijaweza kufahamika mara moja, amenonekana akiwa anafanya vurugu kwenye machafuko yanayo endelea nchini Burundi, huku akiwa amevaa fulana yenye jina la TANZANIA. Mwandishi wa uzi huu, anaalaani vikali kitendo kilicho fanywa na kijana huyo, kwa sababu TANZANIA ni kisiwa cha amani, na jina la TANZANIA halipaswi kuhusika kwa namna yoyote ile na jambo lolote lile ambalo lipo kinyume na amani.

2895A51A00000578-3078438-image-a-46_1431442534670.jpg
 
si hoja sana.maana hapa tanzania waliovaa fulana za USA.au UGANDA ni wengi sana.huyo ni Mrundi aliyevalia fulana ya tz
 
Huyo Mrundi pengine huja kununua mihogo kigoma akaipenda T-shirt.Haina shida hiyo.Na pia usiendelee kujidanganya uko kwenye kisiwa cha amani ukabweteka.Jitathmini na nchi yako kwa kina.
 
Jezi za tanzania nzuri bhana. Hasa zile nyeupe zenye strips mabegani, utazipenda.
 
unajua warundi wananunua vitu vingi sana huku TZ mf magodoro, nguo, yeboyebo na pombe za kienyeji. nenda pale Manyovu mpaka wa Burundi na TZ utasadiki haya niyasemayo
 
Back
Top Bottom