Tanzania yaanza kuunda ndege zisizo na rubani,.

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,476
4,448
Hakika ni mapinduzi ya teknokojia na viwanda

Hongera Mh.

c8a767060aa021f0ab4802026f38dad0.jpg
 
Wanawachota sana wananchi wanaotegemea habari za magazetini na luninga,ukute hapo wameasemble tu ka quadcopter.alafu habari haina hata picha ya hyo drone wtf.
 
Hahaha tumepiga hatua kweli tuunde na nyuklia zetu kabisa majirani wasitusumbue
 
Hakuna linalomshinda binadamu yeyote kufanya kitu ambacho amekidhamiria na kukinuia, maana ni lazima atakipata! Mwenye Enzi Mungu ibariki nchi yangu Tanzania milele yote!
 
Kupata kwa mwezi mlimpa hongera mh. Kwa kuchagua mbeya.

Mbona haya mafuriko hamjampa pongezi????

Kuwa mshabiki wa ccm yahitaji moyo kufikiri kwa kutumia makota si mchezo.
 
Back
Top Bottom