Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,355
- 2,769
Ni kitu kizuri ๐๐๐ ila tusije tukaangukia baharini ๐๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐๐ฎ๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฒ๐ป๐ด๐ฒ๐ป๐ฒ๐๐ฎ ๐ก๐ฑ๐ฒ๐ด๐ฒ ๐๐ฎ๐ธ๐ฒ
View attachment 3199874
Hatimaye Tanzania imefanikia kuanza kuunda ndege zake zenyewe ambapo Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya ziara katika kiwanda cha Airplane Africa limited (AAL) kinachotengeneza ndege ndogo aina ya Sky leader 600 mkoani Morogoro.
Kiwanda kilianza kazi rasmi mwaka 2024 na hadi kufikia januari 2025 kimefanikiwa kuunda Ndege 5 tayari ambazo zenye uwezo wa kubeba Abiria Wawili.
View attachment 3199876
Uwekezaji wa kampuni hiyo kutoka Jamhuri ya Czech umechangiwa na juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan chini ya Falsafa ya 4R.
Kwa afrika ni nchi mbili tu ndo zinatengeneza ndege zake zenyewe ya kwanza Afrika Kusini ikifuatiwa na Tanzania hivyo unaweza kuona vile nchi Yetu inavyozidi kupiga hatua katika maendeleo.
View attachment 3199877
Ndege hizo kwa sasa zinaweza kutumika katika kilimo, kufanya utafiti ulinzi pamoja na utalii.
Moja wanauza bei gani?๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐๐ฎ๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฒ๐ป๐ด๐ฒ๐ป๐ฒ๐๐ฎ ๐ก๐ฑ๐ฒ๐ด๐ฒ ๐๐ฎ๐ธ๐ฒ

Kiwanda hichi kilikuwepo muda mwanzoni ndo walikua wanafanya assembly ya vitu mbalimbali lakini sasa toka mwezi Desemba mwaka jana wameanza kutengeneza kutoka mwanzo mpaka mwisho hapa hapa Tanzania Jamhuri ya Czech wameshirikiana na Serikali ya Tanzania kuna kiwango fulani cha pesa kimetumika kuwezesha huu mfumo.Uwekezaji wa kampuni hiyo kutoka Jamhuri ya Czech,
* umechangiwa na juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan chini ya Falsafa ya 4R.*
Huu n uwekezaji wa watu wa czech, Inakuwaje kusema tanzania tumeanza kutebgeneza ndege na kwann tusiseme tumeanza kuunganisha vifaa kuwa ndege?
Samia amechangia shngap au mchango wake upi?
Naomba majibu mleta
Kiwanda hichi kilikuwepo muda mwanzoni ndo walikua wanafanya assembly ya vitu mbalimbali lakini sasa toka mwezi Desemba mwaka jana wameanza kutengeneza kutoka mwanzo mpaka mwisho hapa hapa Tanzania Jamhuri ya Czech wameshirikiana na Serikali ya Tanzania kuna kiwango fulani cha pesa kimetumika kuwezesha huu mfumo.
Shngap zimetumika (leta bank slip) na leta ushahidi wa makubaliano ya kuwa sasa hawaunganishi ni wanaunda mazima.Kiwanda hichi kilikuwepo muda mwanzoni ndo walikua wanafanya assembly ya vitu mbalimbali lakini sasa toka mwezi Desemba mwaka jana wameanza kutengeneza kutoka mwanzo mpaka mwisho hapa hapa Tanzania Jamhuri ya Czech wameshirikiana na Serikali ya Tanzania kuna kiwango fulani cha pesa kimetumika kuwezesha huu mfumo.