Tanzania ya Viwanda!

BAF

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Posts
421
Reaction score
511
Miaka mingi iliyopita wasomi mbalimbali ambao wamesoma nje na ndani ya Tanzania walikuwa wameajiriwa katika viwanda vyetu hasa viwanda vya Mkoa wa Morogoro na tunaamini kabisa hata sasa idadi ya viwanda vikiongezeka wasomi wetu ambao mmemalizia vyuo vya ndani ya nchi yetu mtapata ajira za kutosha kwa hiyo,msikate Tamaaa Siku zinakuja na ndipo mtashangilia na kufurahi pamoja na serikali yetu.

Yes Tanzania ya Viwanda!
 
 
Tanzania ni nchi ya viwanda vya uhakiki
1.kiwanda cha uhakiki wa vyeti feki
2.kiwanda cha uhakiki wa wafanyakazi hewa
3.kiwanda cha uhakiki wa wanafunzi hewa


bado kuna kiwanda cha uhakiki wa ndoa kinakuja

 
Tanzania ya viwanda vya matamko tumeichoka
 
acha kuishi maisha ya kukariri ww,
 
Vwonder vya ngumu kumeza labda mleta anazungumzia!

Ova
 
Ukifuatilia sana mambo ya hii serikali na zilizopita unaweza ugua kichaa au ukaishia kuwa mlevi maana kama nchii inaongzwa na dokta alafu anayoyafanya ni sawa na asiesoma sa si uchizi huo? Tanzania ya viwanda akati kilimo kimewashinda? Nchii inakuwa na uhaba wa chakula alafu kuna mito inapeleka maelfu ya lita za maji bahari alafu bila hata kufikiri wanasema Tanzania ya viwanda? Kiwanda? Kiwanda kipi akati pamba imetushinda, pareto, chai, kahawa basi hata miwa nayo imetushinda? ndo maana sukari yapanda bei kila asubuhi!
Pumbafu hawa jamaaa wanatuchukulia sie mazuzu sana au...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibuni katika mjadala huu,

Swali likihoji je, kauli ya Tanzania ya viwanda ni kwa kiasi gani serikali inatekeleza au imetekeleza?

Ikiwa tayari ni mwaka wa tatu sasa tumeuanza toka serikali mpya iingie madarakani yamkini wewe umeona au bado hujaona kile ambacho hadi sasa imetekeleza karbuni sana kwa mjadala huu tujuzane kama kuna asilimia zimetekelezwa au lah.

Karibuni nyote kwa mjadala huu
 
Kuna usemi unasema "haraka haraka aina Baraka" mkuu hii kauli mbiu ya Tz ya viwanda tunaitaka Kwa haraka Sana uenda Ndio maana hadi leo hakionekani kilichofanyika Kwa kiwango tulichotegemea..
Poor strategies pia ni tatizo tumejawa na maneno mengi vitendo vichache what do you expect
 
Naona wimbo wa "Tanzania ya Viwanda" umechuja, hata wenye wimbo wameuchoka.

Mungu hushusha baraka zake pale penye upendo na amani ya kweli.
 
Tanzania ya viwanda, viwanda vinajengwa wapi?! Vinazalisha nini?!
Kilimo kwanza kiliyeyuka, Big Results Now waliyeyuka, Maviwanda yako Wapi?! Au bado tunayajenga kwenye makaratasi?!
Yanazalisha bidhaa gani haya maviwanda?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…