Tanzania ya tatu Mimba za Utotoni barani Africa

kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,739
4,734
WP_20160128_002.jpg
 
sikubaliani na takwimu zako , kwa uelewa wangu Tanzania inaongoza kwa mimba za utotoni , nenda keko torori , utafiti unaonyesha kwamba eneo hilo hakuna msichana yeyote mgumba , ukipata kijidemu eneo hilo halafu hakishiki mimba basi jichunguze mwenyewe , bila shaka utakuwa na matatizo .
 
Tunaongoza kwa idadi ya albino duniani

tupo top five ya utapiamlo kwa wamama wajawazito na watoto

top five ya majanga mengi tunaingia
 
Tunaongoza kwa idadi ya albino duniani

tupo top five ya utapiamlo kwa wamama wajawazito na watoto

top five ya majanga mengi tunaingia

Nadhani ikija kwenye ujinga pia tupo tano bora.

Watanzania ni rahisi mno kudanganyika hata kama taarifa zote zipo hapo mbele yao.

Hivi umeona jinsi ambavyo watu wanaamini ule uzushi dhidi ya Donald Trump?

Utasikitika!!!
 
Back
Top Bottom