Tanzania ya tanu ya ccm hadi chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania ya tanu ya ccm hadi chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by activisty, Oct 2, 2012.

 1. activisty

  activisty JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 315
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ikiwa ni siku chache Watanzania tutakuwa tukikumbuka kifo cha hayati BABA WA TAIFA MWL. JULIUS NYERERE,kilichotokea tar.14/10/1999.Ningependa nizungnmzie machache kuhusu mwenendo wa kisiasa toka TANU,CCM, hadi CHADEMA!!Kwa kuanza na TANU ya mwalimu,ambayo kwa jitihada na maarifa ilipigania uhuru wetu na kwa kupitia mwalimu NYERERE,kikaweza kuwa chama kikubwa kilichokubaliwa na WATANZANIA wengi kwani kilijitahidi kupigania haki na maslahi ya wananchi bila kujali MATABAKA na hatimaye kikapata nguvu kubwa katika nchi yetu.Lakini hali ilibadilika baada ya TANU kuungana na ASP na kuwa CCM,CHINI YA HAYATI karume na nyerere,kwani mwanzoni watu walikiamini sana CCM LAKINI mara tu baada ya mwalimu kuachia URAISI chama hiki kimegeuzwa kuwa KISIMA CHA MAFISADI na hatimaye kupoteza mwelekeo kisiasa katika kuongoza nchi yetu!!mimi kama mtanzania kwa sasa sina tena imani na CCM kwani kwa sasa ni DHOOFU,HAKINA DIRA,NI KIKWAZO CHA MAENDELEO,NI HIFADHI YA MAFISADI,NA PIA KINAKANDAMIZA HAKI ZA BINADAMU.naamini kama mwalimu NYERERE angekuepo basi tayari leo hii tusingekuwa na historia tena ya CCM kwani UDHALIMU unaofanywa na CCM sasa kamwe NYERERE ASINGEUKUBALI.CHADEMA kama chama makini kwa sasa na kinachozingatia maslahi ya umma hakika kingempata mwanachama muhimu yani J.K.NYERERE.Watanzania tumpe heshima BABA WA TAIFA kwa kufanya yale aliyoyafanya ambayo kwa sasa yanafanywa na CHADEMA.Hivyo basi hatuna budi kumuenzi BABA WA TAIFA KWA KUFANYA MABADILIKO MAKUBWA MWAKA 2015 kwa kuchagua viongozi bora kama alivyokuwa yeye na wenye kujali na kutetea maslahi ya WANYONGE yani toka TANU,CCM hadi CHADEMA!!!!
   
 2. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  tanzania ya tano wajinga hadi ya sasa ya werevu
   
 3. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  tanzania ya tano ya wajinga hadi ya sasa ya werevu
   
 4. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hongera kwa uhuru wa kutoa maoni.
   
Loading...