Tanzania ya leo..2012.-utawala bora.

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
594
163
Inasikitisha kuona tanzania ya leo viongozi wake uwezo wao wa kufikiria umegota ukingoni, hawatambui majukumu yao, na wala jinsi ya kutimiza wajibu wao.. Zaidi ni kuangaliana usoni na kulindana kwa manufaaaa ya watu wachache...huku mwananchi wa kawaida akiendelea kuteseka...afu tunaambiwa utawala bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…