Ajali za kizembe zinasababishwa na jeshi la polisi na wa kumlaumu zaidi ni mkubwa wao, huyo angekuwa uk katimuliwa kama paka
Ajali zinatokea kila kukicha tena sio za kawaida lazima ziue watu kuanzia mabasi, malori na magari madogo
Sababu ni kuwa gari matairi yameisha ila dereva anaruhusiwa aendelee na safari kisa amehonga 30,000
30,000 tu kwa uhai wa watu huyo ni muuwaji aliepokea hiyo hela
Lorry halina break halafu baada ya kuua traffic wanatoa ripoti ooh limefeli break
Hell no, ni uzembe wao kuruhusu liwe barabarani
Wajifunze kama huku MOT ya kila mwaka na lazima police wala rushwa watimuliwe mbona kenya wanawekewa mitego na wanakamatwa kila kukicha ingawa wapo lakini hawana ajali kama sisi na wana magari kutuzidi na ni nchi ndogo kuliko sisi