..unajua UZEMBE wa watawala wetu ndiyo uliosababisha tufike hapa tulipo.
..nchi hii ingekuwa na uongozi makini leo hii tungekuwa tunafaidika na kuneemeka ktk EAC na SADC.
..Tanzania, Uganda, Rwanda, na Burundi, ilisha-sign MOU za miradi ya ujenzi wa reli.
..kama kawaida ya serikali yetu pendwa ya CCM wakazubaa mpaka Kenya sasa amekuja ametupiga "bao", sisi tumebaki na makaratasi yetu ya MOU.
..serikali ya Tanzania ingekuwa imechangamka, na mradi wa reli umeanza, Museveni na Kagame wasingechomoka hata kama wana chuki binafsi na Kikwete.
cc: BINARY NO, Grand Jury, Ogah, Bulldog

Last edited by a moderator: