MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,564
- 849
Ambassador Iddi said that the arrest of Al Bashir wouldnt end the long-standing conflict in the Sudanese western province, hence there was a need for the UN to suspend the warrant.
Mbunge anaiuliza serikali ni kwanini Rais wa Sudan kapewa warrant na mahakama ya kimataifa. Hata kwenye bar si kuna TV show za bure? Kuna siku mtu atauliza bungeni kwa nini baba yake na mama yake wameachana.In his response to the basic question by Parmukh Singh Hoogan (Kikwajuni, CCM), who had wanted to know the reason behind the issuing of Sudanese President arrest warrant, Ambassador Iddi said that Al Bashir was accused of allegedly spearheading the atrocities in Darfur region which was contrary to Rome Convention.
Hi ni Kanagaroo Court, Blair, Bush, nk, wameuwa watu wengi zaidi ya Bashir na wao watashitakiwa na nani? Hongera African leaders na Tribunal body!!
Endelea:
Prosecutors at the International Criminal Court (ICC) have appealed against a decision by the body's tribunal not to charge Omar al-Bashir, Sudan's president, with conducting genocide.
He said there was insufficient evidence to prove he was also guilty of waging genocide there, "We believe it's a mistake. He told Al Jazeera:
Leaders of the African Union said on Friday they would no longer co-operate with the ICC and would not arrest and extradite the Sudanese president.
Source aljazeera
Basi na wewe siku mtu akija kuua watu uwapendao wewe usije uka lalamika asipo shitakiwa. Maana nae atasema mbona kuna wengine hawaja shitakiwa. Bashir has comment crimes against Africans on African soil so it was a moral duty for our leaders to arrest him. Au na wewe mkuu hii nayo utaibadilisha kuwa ishu ya wao dhidi yetu?
Ndugu zangu, we have seen the movies, read the stories and heard the rumours kwamba there are always superpowers-to be specific the western behind these so called genocides and mass killing. So I think there is a need to go one step further-instead of prosecuting the African rats who spearhead them, find the wolves who financed them.
Hapana mkuu, sisupport mauwaji kabisa popote yanapotokea, Ninachopinga ni judicial system inayo pick and choose
Kukiwa na Mahakama hapa nchini kwetu inayochagua nani ashitakiwe na nani asishitakiwe itakua ni uonevu na hakuna ataependa kuwepo mahakama kama hii, na ndo maana tunapinga mahakama kama hii ya ICC
AU, Arab League na wenyewe Tribunal Bordy pia wamepinga
Tayler yuko mahakamani kwa kosa la ku-support rebel wa Sieraleon wakati yeye ni Rais wa Liberia!! sasa jiulize, American na Europe wana-support ma-rebel wangapi Africa na duniani kote?
Ni America walio-support Al-qaida (1990s) kufanya mauwaji Afghan, Vita ya Congo!! all over africa,nk nani ana-support hivyo vita???
Tukiacha uvivu wa kufikiri, africa itaondokewa na umaskini na kujitawala kik kweli. Ongera viongozi wa Afrika kwa kukataa kuburuzwa
Mkuu nakubaliana na wewe. Ninacho sema tu ni kwamba wasiache kumkamata Bashir simply because nao West wana fanya ujinga huo huo. Kama Bashir kafanya makosa na akamatwe but tusifanye vitu just because tuna ogopa kuonekana tuna side na the West. If something happens in our own background we shouldn't let it go.
Tatizo ni kwamba sasa kuna watu wanaoona kila kitu mtu akikubaliana na the West ni makosa na mtu wa "aina" yao akifanya chochote basi asiguswe. We have seen watu wakitetea maovu ya wengine simply because ni wa dini au race moja. I think that is low and hypocritical.
Heshima mbele;
Judicial system lazima iwefair, bila upendeleo wa aina yoyote, hii so called 'International Crime Court' imekosa credibilty kwa sababu ya upendeleo, wanataka kuleta 'LAW OF JUNGLE'
Kwa maana hiyo tutafute alternative system ya kuwashtaki wote wanao tenda makosa bila kujali power au vinginevyo.
Kwa hiyo mkuu;
law of jungle ni uonevu zaid, bora kusiwe na sheria. na hasa ukizingatia wanaosimamia ICC ndo haohao wasio shtakika, na ndo haoaho wanao sababisha vita duniani, sasa huu si ni mchezo wa kuigiza??
O.K. I'm getting what you are saying mkuu. Basi A.U. imkamate tumshitaki sisi wenyewe Waafrika. Will that be fair enough mkuu?
A.U. yenyewe haina structures to carry out such a move.Si unaona
atrocities za Rwanda zilishughulikiwa na UN mjini Arusha.As it is kuna
viongozi wenye matatizo kibao in terms of their legitimacy to office and
I dont think they are even paying this thing any attention. Fikiria watu
kama kina Mugabe na Kibaki amongst a bunch of these relics.
True mkuu. Kwa hiyo hapa tunaona tatizo siyo West bali viongozi wetu wenyewe. Kwenye bara lililojaa wakina Bashir wengi nani ata thubutu kumyooshea kidole mwenzake? Ni kama ile hadithi ya kwenye Biblia ambayo kulikuwa na mwanamke mzinzi ana taka kupigwa mawe. Yesu akawaambia na asie na dhambi arushe jiwe la kwanza. Wote waka dondosha mawe yao.
Tatizo kubwa la Africa mkuu lina anza na sisi wenyewe. Ila kibaya zaidi ni kwamba sisi wenyewe ndiyo wakwanza kukimbilia kutafuta mchawi kwingine kumbe source ipo hapa hapa nyumbani.
Kumu arrest Bashir "hakutamaliza mgogoro wa Sudan." Basi tuache ku arrest majambazi maana wizi hauishi!
Mbunge anaiuliza serikali ni kwanini Rais wa Sudan kapewa warrant na mahakama ya kimataifa. Hata kwenye bar si kuna TV show za bure? Kuna siku mtu atauliza bungeni kwa nini baba yake na mama yake wameachana.