Tanzania wewe..??

Garikubwa

New Member
May 28, 2009
1
0
Ndugu zetu Kenya wamefika mbali, mtu akituhumiwa tu, lazima ung'oke kuutumika umma, Tanzania sasa; pamoja na Chenge kuwa na tuhuma kibao kapewa fomu ya kugombea Uspika.. ili iweje? Agghhhhhh!!

...Zaidi ya ujuavyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom