Hivi huyu jamaa tatizo lake anapokuwa timu ya taifa ni nini hasa? au hana wa kumchezesha? kwani mechi za mchangani (ligi) anawika sana, lakini ikija za kimataifa au Taifa stars anakuwa mdebwedo. Tulimwona hata wiki iliyopita comoro alikuwa anatalii tu uwanjani, tatizo hasa ni nini?