Tanzania Vs Morocco

wakate makosa ya kupoteza mipira katikati ya uwanja, mara zote ni hatari. andunje ngassa wampumzishe, makeke yake yalionekana dakika za mwanzo tu.
 
Tuzidi kuiombea Timu yetu, uwezekano wa kushinda kipindi cha pili uko naona.
 
Mimi naona beki isifanye urembo kule nyuma. Tulifungwa na Ivory Coast kwa kosa la kupasiana beki bila umakini. Na kipindi cha kwanza tumerudia na tumekoswa koswa. Ili lisijirudie kipindi cha pili.
 
Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Tanzania tumepata goli!!!!

Tiba
 
Asante Mungu na uendelee kuwapa vijana nguvu
 
TBC wamefulia hakya nani vile!!!! Ahadi zote zile then saa hizi wanatusaliti.
 
mliopo uwanjan nan kafunga goli? Tbc wanaomba msaada china.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…