Tanzania Vs Morocco

mmmmh hizi statistics hiziiiii!!eti wao 52 na sisi 48!!!
 
Hongera staz,kocha,viongozi,wafadhili,na watanzania wote,uwendawazimu sasa basi!karibu tanzania xi!
 
Kazi nzuri vijana. Hii ndio faida ya kunyesha mvua leo Dar tena jumapili. Ni siku ya ushindi hii
 
Hongera Taifa Stars mpira mliocheza ni wa kiwango cha juu kabisa.
 
sio mbaya, japo wamechafua ubao.!!
 
Kwakweli vijana wanatandaza kabumbu sio mchezo....:rockon:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…