Tanzania Vs Morocco

Tanzania Vs Morocco

rubaman

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
4,983
Reaction score
3,084
kwa tusio Bongo wapi tunaweza kutazama hili game? Nipeni links.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Taifa Stars.
 
wajameni naomba mnijulishe exact mpira tz vs moroco unaanza (kickoff) saa ngapi? sijapata source nzuri ya muda husika.. urgent pls
 
Mpira ni saa tisa kamili kulingana na ratiba ya supersport japo haitaoneshwa kwenye channel za supersport. Itaoneshwa TBC1 na kwa wasio na ving'amuzi ni tbc taifa itatangazwa. Kwa mujibu wa taarifa ya habari za michezo jana usiku tbc1.
 
mkuu asante sana.., wewe ndo nilikuwa nakutafuta., baadaye
 
karibuni hapa wadau tuko uwanjani hapa... kuna wadau ambao mpo hapa pia?
 
Hata umeme hakuna...simu hamna charge!!!
 
Sasa hawa jamaa wanaanza saa ngapi mechi? Mbona haioneshwi tena? Jana wamesema wao wenyewe kuwa wataonesha sasa vp!!!!! Tbc ni kimeo cha taifa aisee kama walimtuma aropoke nn
 
Tbc Taifa mpira umeshaanza hakini kwenye kioo hakuna nimehangaika mpaka ssport zii
 
Jamani ngoja turudi kwa waliopo uwanjani tu, wana jf tujuzeni kama mechi imeanza tupeane updates kwan hili la leo la kitaifa
 
Back
Top Bottom