Msingi_Mbio
JF-Expert Member
- Jul 25, 2012
- 336
- 44
Mpira umeanza ni dk ya 7 bado 0-0
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Taifa Staz inatia kinyaaa kabisa, huyu Kocha ndo simsomi atakidogo, ata Burundi inatugeuza inavyotaka!!!!!!
(kupigwa2-0 na Burundi ni aibu kwa taifa letu)
Hivi ngasa bado anachezaga tu?
Matokeo yatakua1-0,0-0,1-1,2-1,2-2 basi hakuna jipya
hii timu ni majanga kama ebola tu,kila timu zinatupiga tu,na bila ubabaishaji kuisha hususani wa viongozi wetu wa mpira wa mguu.Tatizo sio kocha wachezaji ndio hamna,na vyombo vya habari kwa kutoa misifa ya kijinga .na tupigwe tu