Tanzania vs Burundi

Tanzania vs Burundi

Msingi_Mbio

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2012
Posts
336
Reaction score
44
mwenye live update atujuze

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mpira umeanza ni dk ya 7 bado 0-0

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Natafuta live streaming bado sijaipata lakini naona Tanzania inaongoza kwa goli moja
 
International friendly matches zote zinaonyeshwa na mitandao wiki yote hii, lakini ya Tanzania vs Burundi hazipatikani hata WiziWig.com
 
Matokeeo ni burundi 2 - 0 Tanzania ilikuwepo live kwenye mtandao wa www.futbol24.com

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
hii timu ni majanga kama ebola tu,kila timu zinatupiga tu,na bila ubabaishaji kuisha hususani wa viongozi wetu wa mpira wa mguu.Tatizo sio kocha wachezaji ndio hamna,na vyombo vya habari kwa kutoa misifa ya kijinga .na tupigwe tu
 
Taifa Staz inatia kinyaaa kabisa, huyu Kocha ndo simsomi atakidogo, ata Burundi inatugeuza inavyotaka!!!!!!
(kupigwa2-0 na Burundi ni aibu kwa taifa letu)
 
Tatizo la watanzania ni kule kutokubali ukweli. Wenzetu kwa miaka mingi sasa wanachagua wachezaji wa kuliwakilisha taifa kutokana na vipaji. Sie hapa Bongo bado tumelalia uchawi na ndiyo maana hawa wachezaji hawafundishiki. Hata aje kocha gani nina hapa huyo kocha ataonekana hajuwi alifanyalo kwa hawa wachezaji wa kimsukule. Pandisha dege bovu na kuwapotezea bahari Hindi tumewachoka.
 
Taifa Staz inatia kinyaaa kabisa, huyu Kocha ndo simsomi atakidogo, ata Burundi inatugeuza inavyotaka!!!!!!
(kupigwa2-0 na Burundi ni aibu kwa taifa letu)

Usishangae mkuu, si umeona Burundi ilivyocheza? Ule ndiyo mpira wa akili na vipaji. Uchawi katika hii karne ya 21 ni ujinga. Eti Ngassa na wasanii wenzake ndiyo wanatuwakilisha, tunataka nini jamani?
 
Malinzi njoo huku utuambie tatizo ni nini?
 
hii timu ni majanga kama ebola tu,kila timu zinatupiga tu,na bila ubabaishaji kuisha hususani wa viongozi wetu wa mpira wa mguu.Tatizo sio kocha wachezaji ndio hamna,na vyombo vya habari kwa kutoa misifa ya kijinga .na tupigwe tu

Mkuu white wizard,kilichonisikitisha mimi ni kutoiona timu yetu katika Mbeting,nimekosa fedha ya bure hapo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom