Tanzania, Uganda reject Sudan EAC entry

Tanzania, Uganda reject Sudan EAC entry

Posted Monday, November 28 2011 at 00:00

"We rejected their application after looking at several issues like their democracy, the way they treat women and their religious politics and we feel they don't qualify at all," Mr Kategaya said.


Hawa mawakala wa kanisa katika serikali zetu mara nyingi huwa wanajiamini kuhamisha chuki zao dhidi ya uislamu ndani ya wizara wanazoongoza.
Anaposema wamekataa uanachama wa Sudan kutokana na the way they treat women ,kwani Sudan wanawafanya nini wanawake?.Ana takwimu gani kuonesha kuwa wanawake wa Sudan wanachukia wanavyofanyiwa mpaka wao wachukue hatua za kuwatetea.Kwa upande mwengine wao wanawafanyia kipi kizuri nchini mwao,mbona wanapokwenda kujifungua wanakwenda na glovu zao.Wanawake wa kiislamu ndani ya hizi nchi mbona wengi wanapenda wawe na heshima kama za wanawake wa kisudan.
Ukweli unabaki ule ule kuwa mfumo kristo unatumia fursa za kiserikali kupiga vita imani ya kiislamu...IKO SIKU !
 
Back
Top Bottom