Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,795
- 165,534
Inabidi Tanzania iwekewe vikwazo vitatu.
watawala wetu kutoruhusiwa kusafiri ulaya na marekani kwani wanafuja pesa zetu
Japan kutoiuzia serikali ya Tanzania magari ya kifahari
Nchi wahisani kukatiza misaada yao ya fedha kwani misaada hiyo inaliwa na wachache huku tukibakiwa na deni kubwa la taifa fedha ambazo hazijulikani zimetumikaje.
Tuna madini ya kila aina, gesi,utalii na kilimo, tukinyimwa misaada tutatia akili.
ukisoma hii post kuna mijitu inapinga kila kitu kwa vile imetumwa kuharibu jukwaa letu.
copy kwa mlengo wa kati, stroke, M23, bungeni na wengineo wasio na haya ya kuitakia mema nchi kwa vile wanashiba matumbo yao.
time will tell.
Poleni sana nyie wakimbizi. Rudini nyumbani mshiriki shughuli za kimaendeleo. Huko marekani hakuna anayewajali. Watu wako busy na maisha yaoHii mbona bado sisi ndo tunajiandaa kumalizia mabango yetu na kuyatandaza hapa hakuna kulala hadi kieleweke. JK asifikiri huku nje tumelala anakuja hapa anasema yeye anao utawala bora akarudi nyumbani week haijaisha akaanza utawala wa kidectater shame. Sisi wote tulioko nje ndo tunasambaza huu ujumbe na tutahakikisha Jk na utawala wake wataenda mahakama ya kihalifu full stop
Hata hao marekani wasipotuuzia tuna mshirika na rafiki wetu wa ukweli, china.Mkuu, hata mabomu ya machozi wasiuziwe kwasababu wanaya-misuse kwa kuyapiga kwenye matumbo ya watu!
Nimepita kwenye mitaa ya hapa washington DC katika mtaa wa colombia na 18 street[adams morgan].Nimeona kuna mabango na Matagazo kuhusu uonevu unaofanywa na serikali ya ccm huko Tanzania.Ni picha za akina mwangozi,mauaji ya morogoro,mauaji kule songea,na arusha.Nimeona watu wengi wanasema hii Tanzania si inchi ya amani hii imetoka wapi tena?.Kuna mwingine akasema imebadilika sana.Tunachotakiwa ni kupiga simu au kumweleza congress man wako kuhusu hii issue.Tupate ukweli wake.
Tanzania hatutegemei congress kuendesha mambo yetu. Kwanza hakuna taifa bahiri duniani kama marekanikama hakuna katiba mpya na ya ukweli basi Magamba umekwishaaaaaaaaaaaaaaaa.tutatembea nyumba hadi nyumba.ili congress wafute kila kitu na pia wawasahwishi nchi zingine zilizo marafiki wa marekani pia kutotoa misaada
Sure mkuu. Wamesahau pia kuweka picha ya ben saanane ambaye anatembea na sumu usiku na mchanaubao wa kubandika hayo matangazo malekani haupo umekula ukashiba ndiyo ukaona ufanye hii kazi lakini umesahau mambo mawili mauwaji ya wangwe,video ya lwakatare na kuvamiwa mama zito.
kama hakuna katiba mpya na ya ukweli basi Magamba umekwishaaaaaaaaaaaaaaaa.tutatembea nyumba hadi nyumba.ili congress wafute kila kitu na pia wawasahwishi nchi zingine zilizo marafiki wa marekani pia kutotoa misaada
Umesahau pia kuandaa kongamano na maandamano ya kupinga mimba zisizotarajiwa za wabunge wa viti maalum wa chadema zilizosababishwa na umalaya wa baadhi ya viongozi wakuu wa chademaBado tumejiandaa kuweka kongamano kila kona ya washington DC,Kumbe wamarekani walikuwa hawajui.sasa watajua msikonde
Kwa hiyo kama marekani ndo wanatrain polisi wa tanzania, wanayofanya polisi wetu naamini wanaapply walichofundishwa. Hapo usitegemee serikali ya marekani ichukue hatua.marekani ilikuwa ina train polisi wa Tanzania.Sasa itakuwa basi tena.Tanzania ipo uchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Na wewe uliyezamia marekani kufanya ushoga mbona mawazo yako ni mufilisi sana. Utangoja sana ili slaa awe rais ahalalishe ushoga hapa bongo ndo urudi. Hilo halitatokea kamwewewe najua ni yule shushu ambaye alisomea kule ulaya mashariki .najivunia sana akili zao.yaani utafurahia sana.ndio wanamshauri rais hadi tumefika hapo.tuwapongeze jamaniiiiiiiiiiiiiiiiii
Hhahahaha Mkimbizi wa Washington anajaribu kuja na propaganda za kizamanii! Endelea na ujinga wako huko huko kuivua nguo Tanzania
Ona unavyojiaibisha, tangazo lako hakuna mzungu hata mmoja anayelisoma. Wao wanaangalia mambo yanayowahusu tuNimepita kwenye mitaa ya hapa washington DC katika mtaa wa colombia na 18 street[adams morgan].Nimeona kuna mabango na Matagazo kuhusu uonevu unaofanywa na serikali ya ccm huko Tanzania.Ni picha za akina mwangozi,mauaji ya morogoro,mauaji kule songea,na arusha.Nimeona watu wengi wanasema hii Tanzania si inchi ya amani hii imetoka wapi tena?.Kuna mwingine akasema imebadilika sana.Tunachotakiwa ni kupiga simu au kumweleza congress man wako kuhusu hii issue.Tupate ukweli wake.