environmental
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,054
- 137
Nimepita kwenye mitaa ya hapa washington DC katika mtaa wa colombia na 18 street[adams morgan].Nimeona kuna mabango na Matagazo kuhusu uonevu unaofanywa na serikali ya ccm huko Tanzania.Ni picha za akina mwangozi,mauaji ya morogoro,mauaji kule songea,na arusha.Nimeona watu wengi wanasema hii Tanzania si inchi ya amani hii imetoka wapi tena?.Kuna mwingine akasema imebadilika sana.Tunachotakiwa ni kupiga simu au kumweleza congress man wako kuhusu hii issue.Tupate ukweli wake.
Ndio kama nilivyosema kwenye post yangu na wengi kunipinga kuwa huu ni wakati muafaka wa kuwawekea vikwazo vitakavyowaathiri watawala moja kwa moja na si wanaaanchi wa kawaida.
Wapeni misaada lakini muwapige marufuku kukanyaga ulaya na Marekani.Fungieni akaunti zao na kadhalika.
Watanzania mlioko ulaya na Marekani mtusaidie katika jambo hili.
Wanataka Fujo chadema hapa USA banaa.mtaanza kujikita mnafuatiliwa kwa uchochezi wa Fujo Kwenye Nchi Za watu .Dah mbona chadema mna fujoutakua umepost wewe, bila shaka
kazi ya chadema eti ndio wameshitaki poor chadema poor mbowe,poor slaa
Una wivu mbaya saaaaaana du .Pole maana usingizi unapata wewe kweli jamani ,upo USA unawaza Chadema pole mnoooooNimepita kwenye mitaa ya hapa washington DC katika mtaa wa colombia na 18 street[adams morgan].Nimeona kuna mabango na Matagazo kuhusu uonevu unaofanywa na serikali ya ccm huko Tanzania.Ni picha za akina mwangozi,mauaji ya morogoro,mauaji kule songea,na arusha.Nimeona watu wengi wanasema hii Tanzania si inchi ya amani hii imetoka wapi tena?.Kuna mwingine akasema imebadilika sana.Tunachotakiwa ni kupiga simu au kumweleza congress man wako kuhusu hii issue.Tupate ukweli wake.
Mtakosa misaada muwe Kama Zimbabwe .viongozi Watabakia kula nyie HayaInabidi Tanzania iwekewe vikwazo vitatu.
watawala wetu kutoruhusiwa kusafiri ulaya na marekani kwani wanafuja pesa zetu
Japan kutoiuzia serikali ya Tanzania magari ya kifahari
Nchi wahisani kukatiza misaada yao ya fedha kwani misaada hiyo inaliwa na wachache huku tukibakiwa na deni kubwa la taifa fedha ambazo hazijulikani zimetumikaje.
Tuna madini ya kila aina, gesi,utalii na kilimo, tukinyimwa misaada tutatia akili.
ukisoma hii post kuna mijitu inapinga kila kitu kwa vile imetumwa kuharibu jukwaa letu.
copy kwa mlengo wa kati, stroke, M23, bungeni na wengineo wasio na haya ya kuitakia mema nchi kwa vile wanashiba matumbo yao.
time will tell.