Hawa NO RERFORM NO ELECTION NI WA KUCHAPA VIBOKO KABISA,HATUTAKI GHASIA HAPA TANZANIA,KAMA MNAPENDA GHASIA ENENDENI KENYA MKAZIFURAHIE,
HAPA TUNA,
TIKI-KUBWA
View attachment 3397039
Si ulisema utajitokeza kwenye kanisa la gwajima kupigania haki mbona hujajitokeza jana jumapili?ndiyo mappmbano yenyewe ya kujikomboa. hapa napo yanakuja, it is a matter of time
Deni mlima 107T job alisemaje kumbeHawa NO RERFORM NO ELECTION NI WA KUCHAPA VIBOKO KABISA,HATUTAKI GHASIA HAPA TANZANIA,KAMA MNAPENDA GHASIA ENENDENI KENYA MKAZIFURAHIE,
HAPA TUNA,
TIKI-KUBWA
View attachment 3397039
Wewe ni sengelema unakalia nyama laini.Kipimo Cha mafanikio ya siasa za kiharakati za Lisu na wafuasi wake ni Gen Z wa Kenya, vijana wa hovyo wanaoandamana kila siku mabarabarani na kuiba Mali za wafanyabiashara.
Unajikomboa dhidi ya nani? Unaharibu mali za watu ,maduka ,magari kisa wewe umeshindwa kujituma then unasema unataka mabadiliko.ndiyo mappmbano yenyewe ya kujikomboa. hapa napo yanakuja, it is a matter of time
Kwahiyo mtaongozwa na serikali hipi?Tushakua makini hatuwezi zuia uchaguzi ila hatutapiga kura na wala utotuona sku ya kupiga kura
Punguza ujuha na upuuzi wewe! Hii ni zaidi ya ushauri, ni onyo kabisa!Punguza ujuha na upuuzi wewe. Halafu acha sifa za kijinga
Huyo jamaa ni mpumbavu sana hana hata akiliPunguza ujuha na upuuzi wewe. Halafu acha sifa za kijinga
Embu weka picha
Huyo mtu ni kama popo!Punguza ujuha na upuuzi wewe. Halafu acha sifa za kijinga
Una kipindupindu cha fikraKatiba mpya ya nchi jirani ni sawa tu na Africa Kusini ya Kaburu, Leo Wakenya wamefungiwa njia za kuingia mjini Nairobi.
Kama unabisha Angalia kinachoendelea Huko muda huu
Hali ni tete sana
Ahsanteni 🐼
Wanofunga nimatokeo yakudhurumu Haki za watu kwanini watawala hawataki kutoa Haki nakuheshimu Haki za watu? Haya yote yasingetokea kunapokua na Haki ya kweliKatiba mpya ya nchi jirani ni sawa tu na Africa Kusini ya Kaburu, Leo Wakenya wamefungiwa njia za kuingia mjini Nairobi.
Kama unabisha Angalia kinachoendelea Huko muda huu
Hali ni tete sana
Ahsanteni 🐼
Hata TZ watakuja kuandamana tu.Katiba mpya ya nchi jirani ni sawa tu na Africa Kusini ya Kaburu, Leo Wakenya wamefungiwa njia za kuingia mjini Nairobi.
Kama unabisha Angalia kinachoendelea Huko muda huu
Hali ni tete sana
Ahsanteni 🐼