Tanzania tutafika huku mwaka 2070

Tanzania tutafika huku mwaka 2070

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
3,713
Reaction score
11,612
Wakuu kama picha inavyojieleza hapo chini

BE1FDB2B-7BB2-4ACB-8DA6-98E61BCE0AF4.jpeg



2CC13111-BDAD-4466-A69E-7632042D99C3.jpeg
 
Mafuriko ya jangwani sehemu ambayo ni tambalale yanatutesa tangu nazaliwa mpaka sasa nazeeka then ndio tuje tujenge chini ya mlima. Tukipata akili ya kutumia ardhi tunayoiona ni hatari kwenye makaratasi lazima kizazi fulani kifutike choteee
 
Hizo nyumba wangelipa ziwe sehemu ya uwanja hata parking ya magari na vitu vingine...wabongo wajanja wajanja sana..
 
Labda 2500.. hapo 2070 karibu sana kwa hangover ya ccm kuisha vichwani mwa watanganyika
 
Back
Top Bottom