Tanzania Tunasonga Mbele ki maendeleo ya Technology

Toneradio

Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
65
Reaction score
5
Karibu Tone Internet Radio inayo tangaza moja kwa moja kutokea Tanzania Jijini Dar es salaam Upanga... Tunatumia Internet pekee hatuna Frequency za aina yoyote na unaweza sikiliza ukiwa popote Duniani. karibuni kwa wale wapya kabisa

KUSIKILIZA LIVE BILA CHENGA BOFYA HAPA
 
Unaendesha radio na Generator? Bila umeme wa uhakika biashara zote zinazotumia umeme zitakufa ! Technologia inatumia umeme
 
Mnapiga majimbyo ya Matusi nyie watu bana, tena mchana kweupe kwa saa za Tanzania ......

Nafungua tu namsikia Cee Lo Green na wimbo wake wa F#ck you.........

Nimeweka na mie kidole cha kati mbele kwa kila mhusika wa wimbo huu...
 
Dj alipitiwa mdau pia kuhusu umeme upo wakutosha no dowans problem wadau ni 24/7 hewani
 
Kazi ipo wakuawa lakini ndo maendeleo haya.hongereni
 
nchi ipo kwnye giza halaf unasema tech inakua tz! Please!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…