chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,180
- 25,417
Umeelezea vizuri sana. Tanzania inamilikiwa na watu wachache sanaa mabadiliko kwao wanaona wanaporwa hati ya umiliki wa Tanzania. Kwa jinsi ccm inafanya inachochea uvunjifu wa Amani na Haitachukua mda mrefu itavunjika kweli na hawata amini.