Tanzania tuna vipaji hatari

Tanzania tuna vipaji hatari

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,568
Hawa wote watakuwa nomitanted Mtv Mama

ImageUploadedByJamiiForums1437588048.116125.jpg
 
Vipaji vipo vya kumwaga ila tatizo huwa vinaibuka baada ya kuona mafanikio kwenye maeneo ambayo wana vipaji badala ya kuchukua hatua mapema
 
bongo ajira hakuna so kila mtu ana kipaji kutest zali.
Hahaha kweli mkuu! Kna siku nilienda tizi coco dah nkakuta asubuhi sana beach kna Wasani kibao wanafanya mazoezi ya kuimba kila mtu anataka kutoka...yaani
 
bongo ajira hakuna so kila mtu ana kipaji kutest zali.
Suala la kutesti zali halihusiani na ukosaji wa ajira na wala halina mipaka.

Ulimwenguni kote inapotokea suala la kutesti zali watu weanajichanganya tena wengine wana shughuli zao za maana lakini bado na wao wanakomaa
 
Bongo star search ni janga! La kitafaifa
 
,😘😘😘🎇🙌🙌💋😍🎇🎇🎇🎆🎂🎁🔦💑😼and the winner is kayumba juma
 
Back
Top Bottom