Tanzania tumevunja Record ya Ulimwengu kwa Corruption!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania tumevunja Record ya Ulimwengu kwa Corruption!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FUSO, Jul 20, 2011.

 1. F

  FUSO JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,834
  Likes Received: 2,306
  Trophy Points: 280
  Tanzania Imekuwa nchi ya kwanza duniani kwa RUSHWA kuhonga hadi chombo cha kutunga sheria za nchi. Tumevuja record hii mwaka huu kuwa nchi ya kwanza kwa kutaka kulihonga BUNGE letu tukufu ili lipitshe bajeti ya wizara husika.

  Hii ni aibu kubwa kwetu sisi na mbele ya mataifa hasa kwa wale tunaowalilia hali kila kukicha, binafsi najisikia vibaya sana hata kujiita mtanzania nahisi aibu. Hii ni kashfa kubwa sana ambayo ni aibu kubwa sana kwa nchi yetu.

  Unahonga hadi Bunge, chombo cha juu kabisa cha kutunga sheria za nchi? this is more than too much - GUYS !!! tunachekwa let us be serious. tunakokwenda siko watanzania.

  Kununua HAKI toka kwa wawakilishi wa wananchi ili kupata faida yako mwenyewe - YES, haya ndiyo Mafanikio ya miaka 50 ya uhuru wetu.
   
 2. D

  Derimto JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Na kama tukiendelea hivi nchi inaweza kugawanyika na vita vitaibuka kati ya matajiri na masikini
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  It is not true... proof please!!! hata kama tunaichukia CCM Tanzania haijafika huko kuwa ya Kwanza Duniani, nadhani bado tuko nyumba kweli kwa Kenya...
   
 4. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Hivi donors wanasemaje?
   
 5. F

  FUSO JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,834
  Likes Received: 2,306
  Trophy Points: 280
  nchi gani ulimwenguni ambayo imeshakuwa na kashfa ya kulihonga Bunge lake tukufu? kama si TZ peke yake. sasa ukifiiia level ya kuhonga hadi Bunge, je kwenye taasisi ndogo ndogo za serikali si ni uozo mtupu.
   
 6. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  The World's Most Corrupt Nations, 2010 According to the annual survey by the Berlin-based organization Transparency International, Somalia, Myanmar, Afghanistan, and Iraq are perceived to be the most corrupt, Denmark, New Zealand, Singapore, Finland, and Canada are perceived to be the world's least corrupt countries. For a list of the least corrupt nations, see World's Least Corrupt Countries. The index defines corruption as the abuse of public office for private gain and measures the degree to which corruption is perceived to exist among a country's public officials and politicians. It is a composite index, drawing on 13 different expert and business surveys. Only 178 of the world's 193 countries are included in the survey, due to an absence of reliable data from the remaining countries. The scores range from ten (squeaky clean) to zero (highly corrupt). A score of 5.0 is the number Transparency International considers the borderline figure distinguishing countries that do and do not have a serious corruption problem. In the 2010 survey, 75% scored below five.


  [TABLE="class: sgmltable"]
  [TR]
  [/TR]
  [TR]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"]1.[/TD]
  [TD="align: left"]Somalia[/TD]
  [TD="align: center"]1.1[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"]2.[/TD]
  [TD="align: left"]Myanmar[/TD]
  [TD="align: center"]1.4[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"][/TD]
  [TD="align: left"]Afghanistan[/TD]
  [TD="align: center"]1.4[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"]4.[/TD]
  [TD="align: left"]Iraq[/TD]
  [TD="align: center"]1.5[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"]5.[/TD]
  [TD="align: left"]Turkmenistan[/TD]
  [TD="align: center"]1.6[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"][/TD]
  [TD="align: left"]Uzbekistan[/TD]
  [TD="align: center"]1.6[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"][/TD]
  [TD="align: left"]Sudan[/TD]
  [TD="align: center"]1.6[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"]8.[/TD]
  [TD="align: left"]Chad[/TD]
  [TD="align: center"]1.7[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"]9.[/TD]
  [TD="align: left"]Burundi[/TD]
  [TD="align: center"]1.8[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"]10.[/TD]
  [TD="align: left"]Equatorial Guinea[/TD]
  [TD="align: center"]1.9[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"][/TD]
  [TD="align: left"]Angola[/TD]
  [TD="align: center"]1.9[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"]12.[/TD]
  [TD="align: left"]Kyrgyzstan[/TD]
  [TD="align: center"]2.0[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"][/TD]
  [TD="align: left"]Venezuela[/TD]
  [TD="align: center"]2.0[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"][/TD]
  [TD="align: left"]Congo, Democratic Republic of[/TD]
  [TD="align: center"]2.0[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"][/TD]
  [TD="align: left"]Guinea[/TD]
  [TD="align: center"]2.0[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"]16.[/TD]
  [TD="align: left"]Cambodia[/TD]
  [TD="align: center"]2.1[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"][/TD]
  [TD="align: left"]Central African Republic[/TD]
  [TD="align: center"]2.1[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"][/TD]
  [TD="align: left"]Comoros[/TD]
  [TD="align: center"]2.1[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"][/TD]
  [TD="align: left"]Congo, Republic[/TD]
  [TD="align: center"]2.1[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"][/TD]
  [TD="align: left"]Guinea-Bissau[/TD]
  [TD="align: center"]2.1[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"][/TD]
  [TD="align: left"]Kenya[/TD]
  [TD="align: center"]2.1[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"][/TD]
  [TD="align: left"]Laos[/TD]
  [TD="align: center"]2.1[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"][/TD]
  [TD="align: left"]Russia[/TD]
  [TD="align: center"]2.1[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"][/TD]
  [TD="align: left"]Papua New Guinea[/TD]
  [TD="align: center"]2.1[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"][/TD]
  [TD="align: left"]Tajikistan[/TD]
  [TD="align: center"]2.1[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"]26.[/TD]
  [TD="align: left"]Cameroon[/TD]
  [TD="align: center"]2.2[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"][/TD]
  [TD="align: left"]Côte d'Ivoire[/TD]
  [TD="align: center"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"][/TD]
  [TD="align: left"]Haiti[/TD]
  [TD="align: center"]2.2[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"][/TD]
  [TD="align: left"]Iran[/TD]
  [TD="align: center"]2.2[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"][/TD]
  [TD="align: left"]Libya[/TD]
  [TD="align: center"]2.2[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"][/TD]
  [TD="align: left"]Nepal[/TD]
  [TD="align: center"]2.2[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"][/TD]
  [TD="align: left"]Paraguay[/TD]
  [TD="align: center"]2.2[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"][/TD]
  [TD="align: left"]Yemen[/TD]
  [TD="align: center"]2.2[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  Have you seen Tanzania on that list? Please don't try to put a BOGUS TOPIC
   
 7. F

  FUSO JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,834
  Likes Received: 2,306
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa nafikiri nao wanafurahia tunavyohangaika hangaika, mi sidhani wana nia ya kweli ya sisi tujitegemee, its like wapo happy na wataendelea tu kuleta misaada ili tuwe tegemezi milele.
   
 8. F

  FUSO JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,834
  Likes Received: 2,306
  Trophy Points: 280
  Unakuwa kama CCM unaishi kwa takwimu za kutengeneza mzee?, watu tunaongelea hali halisi wewe unaingia kwenye google ku-copy na ku-paste. mi nakwambia nitajie nchi ambayo ilishawahi kulihonga bunge la nchi yake na ikathibitika kama sisi.
   
 9. F

  FUSO JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,834
  Likes Received: 2,306
  Trophy Points: 280
  ni lazima tutwangane kwanza ili TUHESHIMIANE, wakenya tuliwacheka sana mwaka juzi ila sasa hivi wanasonga mbele. Mtu kupeleka Bahasha kumpa mbunge ili apitishe kitu ambacho si sahihi hiyo ni DHARAU KUBWA SANA.
   
 10. N

  Nakwetu Member

  #10
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kwamba hatuna Bunge maana kwani wanaohongwa si ni wale wabunge. Barua inasema kama kawaida yetu changia 50M, hivyo hao wabunge miaka yote wanachukua rushwa ili kupitisha bajeti, SHAME ON THEM. Wanapewa miposho hivyo hawaridhiki, bado na rushwa. Inasemekana ni wale wapiga kelele ndio wanapewa rushwa. Nakuomba Jairo toa list yako ya wale uliowapa. Ndio ile chai aliyosema Anna Kilango hataki chai bali Umeme?
   
 11. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hii dependency syndrome sijui tutaachana nayo lini. ndo maana tunashindwa chukua hatua. yani mambo yanayotuhusu sisi wenyewe, tena jinsi ya kujitawala na kuwajibisha watu wetu lazima tuwaulize donors? ndio maana tunashindwa chukua maamuzi magumu promptly manake lazima tuulize kwanza wafadhili wanasemaje! hii kitu kama great thinkers hapa JF lazima ikomeshwe. kama tutasubiri donors waseme wakitakacho wao basi hii forum haina maana na its not worth spending a minute here
   
 12. The Inquisitive

  The Inquisitive Senior Member

  #12
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hiyo record umepata wapi? Au umeshindanisha mwenyewe?
   
 13. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kwasababu sasa hivi Ufisadi wetu bado sio kama wa nchi zingine, nchi nyingi tu Bunge lao huwa linapewa pesa kuashiria au kupendekeza mambo hadi Bunge la Marekani kuna watu wanaishi Mtaa unaoitwa J Street they R lobbyist who go and talk or give money to the members of Congress to pass what the want... so this is common to any parliament world wide my friend...
   
 14. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Hawezi kukujibu hilo swali
  hapa nchine kuna maendeo mawili yanaongoza kwa rushwa kwa zinazo ingia na zinazo toka Wizara ya Nishati/Madini na TRA mkibisha waambiene Ernst &Young walio kagua huko esp TRA walipewa hadi ni jinsi gani ya mfumo waufanye ili makusanyo ya kodi yawe makubwa basi viongozi wa TRA waka angalia wakajua hapo itawafuta kazi wote viongozi wa kuu na sasa TRA wakaanza kuimplement kuanzia chini ili kuwabana watu wa chini ili in ten years hawa wakubwa watakuwa walisha staafuu na kuwaachia msala watu wapy TRA no its the samae to Nishati na Madini
   
 15. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  NIMEJIBU SWALI LAKE; It common to any Parliament Worldwide... Naona nyinyi hamfuatii Mabunge mengine Duniani... sink!!!
   
 16. n

  nyamagaro JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Nakubaliana na wewe mkuu kuwa hizi takwimu ni za kupikwa na siyo uhalisia. Nadhani Tanzania must be among the 10 most corrupt countries in the world, perhaps even the first. I also think it was because we did not know that bribing MPs was the norm of the day each each year during the government budgets. Thanks to those who have unleashed the letter (Jairo's letter), because had it been not made public we would have not known this dubious game played by JK ministries to pass their bills. However, for your information Mseveni naye aliwaonga wabunge wote wampigie kura kwa kuwapa hela through their bank accounts.
   
 17. s

  sir echa Member

  #17
  Jul 20, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kabla hujaponda takwimu za mwenzako kwamba ni za kutengenezwa,inabidi uweke za kwako ambazo sio za kutengenezwa,mi naungana na mdau aliye post data hizo kuliko kuzungumza vitu hewani.
   
 18. s

  sir echa Member

  #18
  Jul 20, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Matumizi ya lugha yetu ya kiswahili,Hayo maneno yenye rangi nyekundu ni kwamba hujui kiswahili chake au ndo manjonjo!!??

  Tuenzi lugha yetu wadau, kama kiswahili kinasumbua ni bora utumie lugha moja unayoielewa kwa ufasaha,au labda liwe neno ambalo kwa kiswahili lina tafsiri zaidi ya moja ili kuondoa utata ndio utumie lugha nyingine ili kutoa maana uliyo idhamiria.
   
 19. F

  FUSO JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,834
  Likes Received: 2,306
  Trophy Points: 280
  kaka Lugha baadaye sasa hivi tuna machungu na RUSHWA, watu wanahonga hadi BUNGE. hebu toa mchango wako kuhusu hili wewe unalionaje?

  Je umeshasikia Bunge lolote duniani limehongwa na taasisi ya serikali au wizara? au wewe ni mtaalaam wa lugha tu?
   
 20. k

  kiloni JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hivi kweli wewe huoni au kipofu: Kuhonga chombo cha juu cha kutunga sheria!
  YLaana--Kum-- sijui wengine waliwahi kufanya hayo. Halafu viwete wa akili wanadai ushahidi. Viwete wa akili wanashangilia kujiuzulu mtu mmoja, Viwete wa akili wanataka kujisifu kwa kujiuzulu tuuuu!!!
  Viwete wa akili watashindwa kuunganisha na ule msimamo wa pamoja wa viwete wenzao mjengoni unaokinzana mpaka na maslahi ya taifa.
  Hao ni viwete wa akili waliojitakia na wakaamua kuchakachua akili zao kwa njia ya ufisadi.
  Ni Viwete hata kama wewe una mawazo kama haya wewe ni KIWETE WA AKILI
   
Loading...