Kwamba sisi tuna bidhaa tunazotengeneza zinazotumia micro USB kwa hio unashauri tuache tengeneza au tunanunua bidhaa za electronic zenye micro USB?Smartphones na electronics devices zitumie charger aina Moja.Naona itakuwa poa.
Iphone devices ndo zinaongoza kutumia charger tofauti na devices zingine.
Tuki adapt standard charger,itakuwa cost effective kwa wananchi na pia positive kwa mazingira kwa kupunguza electronic waste.
Viwanda vyote China vinavyozalisha Simu (maana 90%zinazalishwa huko) zitazaliza type C! So wala usiwaze. Mpaka Itel zitakuja na Type C Chargers.Africa atuna standard na atuna ubavu wa kuhamua chochote.Smartphones na electronics devices zitumie charger aina Moja.Naona itakuwa poa.
Iphone devices ndo zinaongoza kutumia charger tofauti na devices zingine.
Tuki adapt standard charger,itakuwa cost effective kwa wananchi na pia positive kwa mazingira kwa kupunguza electronic waste.
yaani umeongea as if wewe ndiye unapangaTuki adapt standard charger
Issue ni Sheria ya nchi.Kwa mfano ni unnecessary iphone kutumia chaji tofauti na wengine.Kwamba sisi tuna bidhaa tunazotengeneza zinazotumia micro USB kwa hio unashauri tuache tengeneza au tunanunua bidhaa za electronic zenye micro USB?
Kwa hio kama nimenunua infinix yenye micro usb unashauri nikatafute fundi abadili mfumo?
Sisi tunatumia mfumo tunaletewa hatuna uwezo wa kutumia mfumo wetu ikija infinix pin ndogo ni humohumo tunapita nayo
Issue ni Sheria ya nchi.Kwa mfano ni unnecessary iphone kutumia chaji tofauti na wengine.
vifaa vingi vinavyokua imported nchi masikini kama Tz vinatoka China, bei chee, ni vya msaada kwa lugha nyingineAnazalisha Kwan yuko juu ya Sheria.Nchi ikiamua kwa nn asifate.
Toyota zot zinatengenezwa jp lkn, inaweka features kutokn na nch husk na sheria zake, mfn harrier inayikuj tz ina usukn right wakt inayiend rwnd au br ipo leftvifaa vingi vinavyokua imported nchi masikini kama Tz vinatoka China, bei chee, ni vya msaada kwa lugha nyingine
China ndiyo inapanga na kuamua itengeneze USB type gani then zije kwenu, siyo Tz
kama Tz ikipanga basi itengeneze devices za USB-C za kwake au wa import toka EU, kitu ambacho ni ndoto
unafananisha magari na izo trash za kutoka China ?Toyota zot zinatengenezwa jp lkn, inaweka features kutokn na nch husk na sheria zake, mfn harrier inayikuj tz ina usukn right wakt inayiend rwnd au br ipo left
Toyota zot zinatengenezwa jp lkn, inaweka features kutokn na nch husk na sheria zake, mfn harrier inayikuj tz ina usukn right wakt inayiend rwnd au br ipo left