Tanzania timu za soka ni mbili tu!!


MHESHIMIWA Semesozi,
Sikuamini ulicho andika.
Nikaingia kwenye Website.
Nimegundua umeangalia kwa haraka bila kujiuliza lengo la website hiyo Kuorodhesha SIMBA na YANGA tu.

Kutochunguza kwa makini kunakufanya uwe muongo, kwamba ETI DUNIANI WANAJUA KWAMBA TZ, TIMU NI MBILI TU.

NIKUSAIDIE KIDOGO,
Katika WEBSITE hiyo, wanafanya comparison, kwa timu zilizoshiriki WC QUALIFYING na INTERNATIONAL FRIENDLY MATCHES kwa mwaka 2007 na 2008.

Uko hapo?
 
kona hii huna haja ya kuchambua mambo kwa kina, kwani mwisho wa siku ni jokes tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…