Ofcourse, TISS sometimes is misused.If we want to enjoy those resources;
I.CCM government must be ousted by TPDF and form an interim government that shall engineer;writing a new constitution and finally declare a free and fair election.In this election CCM should not be allowed to participate and if possible be deregistered as political party by the Registrar of Political Parties.
II.TISS must be hugely reformed to be a modern security agency that oversees the National interest and not CCM leaders interest!
Otherwise,if we can not take firm decisions against CCM authoritarianism,then let us continue to sing a song of,"Tanzania is a blessed country".
Well said Mkuu.Ila kuna mambo mawili tunapungukiwa.
Tulipopata uhuru tulisema ili tuendelee tunahita:
1. Watu - watu tunao
2. Aridhi - tunayo nzuri na natural resources za kutosha.
3. Siasa safi - ujamaa ulituchelewesha kiasi fulani kwa watu binafsi kujiletea maendeleo!
4. Uongozi bora - kuna nyakati tumekuwa na bora uongozi!
Hayo mambo mawili ya mwisho ndiyo changamoto kwetu.
Nakuelewa Mkuu,, uko sahihi pia. Japo kujikumbusha pia ni muhimu.Korea Kusini, Taiwan, Austria, Ireland, Sweden, n.k., wana u'giant' gani?
Mada hizi za ajabu ajabu zinaumiza kichwa kwelikweli.
Huhitaji u'giant' wowote mwingine zaidi ya ule uliomo vichwani mwa viongozi tunaowaweka madarakani watuongoze.
Inaudhi sana kila mara kusoma habari za majigambo ya u'giant', huku vichwani ni kama sote tumepungukiwa na vitu muhimu vya kuutumia huo u'giant'!
Sikuisoma mada yako, humo ndani.
Sana sana ni kama unafanya mazoezi ya uandishi wa nsha kwa kutumia lugha hiyo uliyotumia hapa.
Mkuu mrangi , kila ukitaka magorofani Drive In, napata kumbukumbu nzuri ya those good old days!.Ila nini tena paskali mtoto wa magorofani drive in
Ova
You are right 100%. Wenye maslahi binafsi wataanza kupiga kelele sababu serikali imebinasishwa sasa ni kama familia na ukoo wa familia washkaji kama kumi hivi Wana control Watanzania milioni 600 na chawa wao.Mbona huko kwa Kagame umeenda mbali sana Mkuu?
Kwani nani hakuona kilichofanyika kwa kipindi cha miaka 5 ya mwamba JPM?
Mzee Ali Hassani Mwinyi aliwahi kusema, yale yaliyoanyika miaka 5 ya awamu ya 5 ni zaidi ya yale yaliyofanyika law zaidi ya miaka 40!!
Tuna kila kitu, changamoto ni uongozi.
Ova.
Hivyo unavyovitaja kama kila kitu, vimekuwa vikitafunwa kimya kimya na vinaendelea kutafunwa na pengine vimebakia kiduchu kiasi kwamba hata vikianza kufaidisha sasa hakuna hatua nchi itapiga...
Ukubwa wa mwamba wa diamond ulipogunduliwa miaka hiyo Mwadui, huwezi ulinganisha ulivyo sasa...
Kuna migodi mingapi ya dhahabu iliyoanzishwa na mwisho wa siku ikafunvwa baada ya ukanda wa dhahabu kuisha wote?
Una gesi ya asili usiyoimiliki, ipo nchini mwako lakini ili iwe ya kwako inakulazimu uinunue kwa mzungu kwanza...
Bado sijaongelea ubadhirifu wa fedha za mapato ambao kila mwaka CAG akitaja hasara zilizopatikana, Wabongo wanajifanya wanafura lakini mwisho wa siku "wanamuachia Mungu"...
Sisi ni gogo linaloliwa na mchwa ndani kwa ndani huku likionekana ni kubwa kwa nje, wakati ndani lishaozeana na muda si mrefu litageuka kuwa mboji...
We aint a sleeping giant....never!
Inasikitisha sana Mkuu..You are right 100%. Wenye maslahi binafsi wataanza kupiga kelele sababu serikali imebinasishwa sasa ni kama familia na ukoo wa familia washkaji kama kumi hivi Wana control Watanzania milioni 600 na chawa wao.
Kuondoa uozo, ufisadi, uhuni unahitwji mkono wa chuma.
Mkuu hili andiko limekaa vizuri sana.Nachangia kidogo hapa.
Miaka ya ujamaa tuliaminishwa serikali inafanya kila kitu, kosa la kwanza, lakini linarekebishika.
Baadae na sasa tunaaminishwa, wawekezaji wa nje ndio suluhu. Hii lugha inatumika hadi vijijini, mfadhiili, mwekezaji atafanya hivi atafanya vile
Mbaya zaidi mwekezaji anaye fikiriwa hapa ni watu kutoka nje ya nchi.
Nikiangalia nchi nzima wazawa wenye viwanda na mashamba makubwamakubwa ni wale tunasema watanzania wenye asili ya mabara mengine.
Kwanini? Au hatuna maarifa, au mifumo ya ukopeshaji haipo kwa kila raia wa asili au husuda tu.
Wenye mamlaka ya idhini, ruhusa nk ni wachache wapo kusaidia mtanzania mwenzake kwa haki. Yaani wengi wapo siku ipite, hajali impact ya huduma yake kwa nchi.
Leo hii akitokea kiongozi mtanzania kuonekana mkaki kidogo utasikia mwamba huyo, jiwe nk. Hujitambui
hadi usukumwe? Si uwe mwamba mwenyewe mambo yakunyookee?
Mtanzania akipata sababu ya kumchelewesha mwenzie wala hasiti kufanya hivyo. Kukatishana tamaa na maelezo mengi bila suluhu imekuwa jadi.
Tutaendekea kujishangaa sana lakini baadhi ya sababu za kushindwa kwetu ni sisi wenyewe na tabia zetu.
Nini kifanyike?
Ubongo wa sisi watanzania unahitaji ku- format. Ni kwa njia ya kutengeneza mitaala ya elimu yakujibu zaidi changamoto zetu.
Elimu ipewe kipaumbele kwa bajeti na ubora. Walio faulu vizuri ndio wawe waalimu sio kinyume chake.
Hawa wabunge walazimike mara moja kwa mwaka kukutana na wawakilishi wa wananchi jimboni kwa idadi itakayo pangwa toka nyanja mbalimbali.
Kila wakirudi bungeni wasimuliane juu ya matakwa ya wananchi na moto walio washiwa.
Hii habari ya vikao vya kichama ni mkakati wa kulindana zaidi kuliko uwazi.
Bunge sawa ni aina ya uwakilishi lakini kuhodhiwa na chama kimoja ni upungufu mkubwa sana.
Kuwe na mkakati wazi na hata usio wazi kuwezesha raia asili kuwa wawekezaji wakubwa, kiteknolojia, biashara, uzalishaji nk.
Watanzania walio wengi wamewekeza kwenye kutengeneza mikate, kusaga unga labda malori na mabasi.
Tumeandaliwa tu kuwa waajiriwa na vibarua. Tulijengwa hofu ya kuwa tajiri au kumiliki mali na vitu.
Sasa Kuna kazi ya kuhamisha watu kutoka tabia za wivu, uoga, kutojiamini, majungu na husuda na kuwa watu wa malengo ya muda mrefu na kufanyia kazi.
Hiyo katiba mpya kama itaandaliwa isikose kibano, kitu kitakacho lazimisha chama chochote tawala kutekeleza mipango msingi ya muda mrefu.
Kumewahi kuundwa tume mbalimbali huko nyuma kwa mambo mbalimbali. Na sasa tuunde timu ya kitaifa ije na majibu ya tunabadilikaje na kuwa kweli nchi ya asali na maziwa kama tunavyochagizana.
Nadhani Japan, China nk hazikubadilika kimiujiza. Tume ije na majibu na tufanye utekelezaji kwa dhati, vinginevyo turidhike na kilichopo na tulivyo.
Point of correction Mkuu, tuko almost milioni 60 kwa mujibu wa sensa ya mwaka jana.You are right 100%. Wenye maslahi binafsi wataanza kupiga kelele sababu serikali imebinasishwa sasa ni kama familia na ukoo wa familia washkaji kama kumi hivi Wana control Watanzania milioni 600 na chawa wao.
Kuondoa uozo, ufisadi, uhuni unahitwji mkono wa chuma.
ππππππMkuu mrangi , kila ukitaka magorofani Drive In, napata kumbukumbu nzuri ya those good old days!.
Tanzania ni inchi iliyobarikiwa almost everything but...
P
Kumbe unakimanya Kiswahili. Dumisha Kiswahili.Kwani hujakisoma Mkuu.
Kama umekisoma, basi na wewe ni muhusika.
Mwenzako anajiona akiandika kwa Kiingereza (hata kama ni cha ugoko) ndio ataonekana wa maanaππImpressive content but you still need to polish your English language proficiency grammar and vocabulary! Itβs like a high school debating language level [emoji4]