Tanzania - the greatest nation on earth

vulcan

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,742
2,459
1.Uchumi wetu unakua kwa asilimia 7% kila mwaka, Tutaipiku nchi ya Kenya mwaka wa 2020.
2.Jeshi letu (TPDF) ndiyo lenye nguvu zaidi upande wa Eastern Africa, tulikomboa nchi za Africa kutokana na wabeberu... saa hizi hata ni vile sisi ni wapenda amani, tungekuwa tumeteka nchi kama Kenya.
Hata Russia walituomba watuletee Mig-35 , Uncle Magu akaseme tuko Imara
3.Bagamoyo Port itachukua Biashara yote kutoka Mombasa Port
4.Esi-Gi-Ara yetu itaunganisha nchi za great lakes zote, itakamilika 2019
5.Tumeunganisha wananchi wote kwenye national grid ya umeme.
6.bara bara zetu ndiyo bora zaidi E.Africa
7.Kama tungeingia Somalia kupiga Al-shabab , hiyo missioni ingekamilika chini ya wiki mbili.
8.Sisi ndiyo tunalisha Nchi ya Kenya, tukifunga mipaka yetu mtakufa njaa.

Lies Bongolalas tell themselves, Bongolalas are like Somalis, inflated sense of self importance and imagined might.
 
Kwani kuna kitu cha uongo hapo miongoni mwa ulivyovuandika?..mbona unajitekenya mwenyewe na unacheka mwenyewe nyang'au wewe.
 
Kichapo gani, arguing military issues with someone who does not know the difference between Air-Defense System and Ballistic Missiles...is a complete waste of time,.
Mtu hajui what an attack helicopter is or ground support.. tutaongea kuhusu nini
Ulikuwa unapewa fact tupu huku ukibishana kitoto,
Unaambiwa ulete misheni ambazo mumewahi faulu unaleta ujinga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
I like namna Tz inavyokunyima usingizi,
Bila shaka ulimkodisha mke wako kwa Mzungu alafu mkeo kagoma kurudi ndio maama chuki na hasira za kijinga zimezidi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
I gave you the missions in Somalia, ama mission iko na meaning tofauti.??
KDF has secured the southern sector of Somali and given them a new lease of life. Enda kwenye ground kaka. Jubaland leadership right now is supported and held together by Kenya.
Kismayu is totally under our control. KDF has created a new region out of another nation. has TPDF ever done that????
 
Misheni zipi mumewahi kufanikiwa?
Zaidi ya misheni za kuiba biscuits na kuuza mkaa,
Mnapenda kujisifia ujinga wakati kwa ground hakuna kitu chochote,
Mkiambiwa ukweli mnakimbilia kufungua nyuzi zisizo na kichwa wala mkia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Akili fupi mnoo.
 
Its important to argue with someone who can use his brain to make conclusions from first principles. Your opinions are just propaganda fed by CCM govt.
I am sorry i cannot engage you in any intellectual discourse.
 
Do you think everyone is ccm here?
As I told you muda ule uko na low IQ that's why Unafungua nyuzi zisizo na kichwa wala mkia,
Jifunze kufungua nyuzi zenye akili, sio Unafungua nyuzi alafu at the end of the day unacharazwa unaishia kukimbia uzi wako ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Stress za maisha zisikufanye uwe na akili fupi namna hii.
 
ha ha ha hii thread is a summary of bullshit you Bongolalas spread here.
I have just summarized ..mbona unakasirika nikirudia maneno mnayoandika hapa??
 
Yani unaacha mda una argue na jamaa la kutumia emojis km uchangiaji kwenye mada...
Hata unaona vyenye ana ruka ruka
Its important to argue with someone who can use his brain to make conclusions from first principles. Your opinions are just propaganda fed by CCM govt.
I am sorry i cannot engage you in any intellectual discourse.
 
Kwnza hapao pa kuwalimaliza alshabab ndani ya wiki mbili umenimaliza
1.Uchumi wetu unakua kwa asilimia 7% kila mwaka, Tutaipiku nchi ya Kenya mwaka wa 2020.
2.Jeshi letu (TPDF) ndiyo lenye nguvu zaidi upande wa Eastern Africa, tulikomboa nchi za Africa kutokana na wabeberu... saa hizi hata ni vile sisi ni wapenda amani, tungekuwa tumeteka nchi kama Kenya.
Hata Russia walituomba watuletee Mig-35 , Uncle Magu akaseme tuko Imara
3.Bagamoyo Port itachukua Biashara yote kutoka Mombasa Port
4.Esi-Gi-Ara yetu itaunganisha nchi za great lakes zote, itakamilika 2019
5.Tumeunganisha wananchi wote kwenye national grid ya umeme.
6.bara bara zetu ndiyo bora zaidi E.Africa
7.Kama tungeingia Somalia kupiga Al-shabab , hiyo missioni ingekamilika chini ya wiki mbili.
8.Sisi ndiyo tunalisha Nchi ya Kenya, tukifunga mipaka yetu mtakufa njaa.

Lies Bongolalas tell themselves, Bongolalas are like Somalis, inflated sense of self importance and imagined might.
 
Kwnza hapao pa kuwalimaliza alshabab ndani ya wiki mbili umenimaliza
haha they always say that. Eti kwa nini tumekaa Somali miaka 7..
Kenya's mission in Somali was to create a buffer zone region - Jubaland..
And that dream is almost coming true. That is not something you can do in 2 weeks.
 
Huu uzi hadi kicheko...yaani umekariri nyimbo zote za hawa...
Japo inatia aibu hamna hata kimoja kimesimama kati ya hizo, 'esi ji ara' wametuimbia humu hadi wakahema siku hizi siwaoni wakianzisha nyuzi zake.
 
Jamaa nawaona wanajigamba na missions hta zisizo na maana yyte...
Collabo tu...
haha they always say that. Eti kwa nini tumekaa Somali miaka 7..
Kenya's mission in Somali was to create a buffer zone region - Jubaland..
And that dream is almost coming true. That is not something you can do in 2 weeks.
 
Tukisema Ndege haziruki border watu wanaona sisi tunawaonea kijicho.
 
Back
Top Bottom