Kama maelezo ya awali yanavyo onyesha inawezekana kupata Channels za Tanzania ukiwa UK cha kuzingatia.
SATELITE NI INTELSAT906
LNB NI KU BAND
RECOMMENDED DISH SIZE NI 170 cm/66.6 in
Ikikuwia vigumu kwa namna moja ama nyingine unaweza kupata TBC1 na ITV kwa kulipia(ie ni online TVs),cha kufanya unanunu paysafe card kwa mwezi ni 5Euro then ukitazama hiyo link utaona email yao donate@tv4africa.com ambayo utawatumia wanakupa username na password kwa ku-download