Hao madeni yao kwa asilimia kubwa yamebase kwenye taasisi za humo humo ndani ya nchi zao!! Hivyo kwao sio shida!! Sio wewe ni madeni ya nje sanasana WB na IMF!!! Wamewapa alert nyingi sana ila hamsikii! Ndo kwanza mnatumia majanga kama mgongo wa kukopa! Sitashangaa miradi yenu mingi ikizidi kuishia njiani! Japo siwaombei hivyo.