Tanzania Tanzania!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Tanzania!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MndemeF, Mar 22, 2011.

 1. M

  MndemeF Member

  #1
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani hivi hii nchi yetu imekosea wapi? Tuna kila sababu ya nchi yetu kuwa miongoni mwa nchi tajiri ukanda wa kusini wa jangwa la sahara. Kwanini? mito tunayo ya kutosha, maziwa,madini, bahari na aridhi safi kwa kilimo. Lakini mbona wengi ni masikini wa kutupwa. umeme shida, kilimo cha jembe la mkono na kutegemea mvua, uchumi unapanda lakini wananchi wanazidi kuwa malofa,kijana kijijini utamkuta kavaa t shirts yake chakavu ya kijani imeandikwa maisha bora kwa kila Mtanzania . Hivi tatizo ni nini au tumelogwa? Ni sasa wala siyo jana wala kesho ni wakati wa mabadiliko. Amka kijana usidanganyike na fulana na kitenge wakati wenzako na familia zao wanakula kuku.Au wote inabidi kwenda Loliondo kwa babu kutibiwa ugonjwahuu wa kuridhika kwa kila jambo hata kama lina affect kizazi hiki na kijacho!? Kama tuna watu, aridhi, siasa safi na uongozi bora sasa tatizo ni nini?. Tutafakari pamoja.:angry:
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Under ccm,no development is possible!
  Adui mkubw wa maendeleo yetu ni ccm,NATAMANI WATANZANIA WAICHOKE KAMA WALIBYA WALIVO MCHOKA KANDAFYI
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Sina la kuongeza. Thenki yu
   
 4. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mkuu UVCCM wakikusikia.....watadai wewe ndio umerogwa
   
Loading...