Tanzania stand up, stand up
Stand up for your rights
Stand up for your power
Stand up for your development
Wasiojulikana watateka nchi nzima?
Walio salama ni wana CCM tu?
Wanajua kujaza form za ugombea ni CCM tu?
Nani asiyeona umuhimu wa tume huru ya uchaguzi?
Nani asiyeona umuhimu wa katiba mpya?
Unajiziba maskio kwa faida ya nani?
Kuipenda penda Tanzania ni kuwapenda watu wake, kulinda rasilimali zake, kuilinda mipaka yake, kuiendeleza.