Tazara (Mbeya 1960 technology)Bridge yenu kama ni hilo linakaa vizuri kabisa..pongezi kwa designers.kandarasi imetiwa saini juzi ma tayari kuna render, sijui ilichorwa lini na nani...
Anyway, kama ulivyosema kwa Nada, Tanzania bridges vs Kenya bridges, ulilo onyesha ni daraja moja tu ambalo limewrkwa suspension kwasababu barabara ya leni nne inapita na chini, kenya kuna Mahali barabara ya leni sita inapita chini ya sgr lakini hakukua na haja ya kuweka bridge ya aina hio..
View attachment 601125
Alafu hio picha ulioeka hilo si daraja la Nairobi national park, kuna kesi inaendelea kotini mpaka iishe ndo daraja la NNP lijengwe, daraja hilo litakaa maka floating tunnel
View attachment 601132
Alafu pia upande wa northern coriddor kutakua na suspesiin bridge... Kama hio hapa itakengwa phase 3C Malaba-Kampala
View attachment 601135
Actually 1960s technology considering the planning phase of TAZARA project.Tazara (Mbeya 1970 technology)
Mkuu ni heli wangeingia cha kike wakawa na uhakika hii ni jinsia yetu lkn hawa mchina kawaingiza cha jinsia mbili.huwezi linganisha Yapi Merkezi na vikampuni vya Kichina, kenya waliingia cha kike
Wao ndo wameona wamefika kila uchwao vipicha kujaza server ya Jf wakiona hii tambo zitawaisha.Hahah nilitaka kui-post nimkate ngebe....[emoji23] [emoji115]
Sure, Mbarawa anasema mazungumzo bado yanaendelea na mikataba itasainiwa miezi michache ijayo kutoka Dom kuendelea anasema hata speed itakua 200/hr sababu ya geographical phenomenon sio challenging kama huko nyuma.
Baada ya kusainiwa hii ya pili ndio nimelata imani hii project ipo serious nadhani AfDB wataanza kuingiza pesa kwenye phases zijazo sababu hii inaonekana kuna mkono wa Turkey Exim
Only corruption is the issue kwenu lakini katika nyanja zingine kama rule of law mmnaanza kutuacha mbali, sisi mode ya economy haieleweki kama ni ya ujamaa au ubepari bora mnajua kwenu ni ubeparikiukweli, ni uchungu sana kusema ila hongereni watanzania heri nyie mnaletewa treni za kisasa...hata bridges naona ziko poa sana...most importantly, hamjaibiwa kama wananchi...huku kwetu, treni ni za diesel ila zimekuwa ndio bei ghali kabisa kuliko zote...SMH Mr. Magu, I respect you...sisi tunafuata nyayo za Nigeria jinsi corruption inavotutafuna...juzi tu tumeshindwa kujenga stadium zitakazotumika kwa CHAN ilhali Rwanda ili host mchezo huo vizuri kabisa...🙁🙁🙁sasa hivi tuna vuta nikuvute kati ya serikali, opposition, electroral commission na Supreme court, wakenya wanaumia kwa njaa, wengine hawana makao wanaofaa kuishi wanadamu..vijana hawana ajira.🙁🙁🙁 yaani wanasiasa wanatulet down sana...Pengine private sector ndio wanajaribu na kutuletea mijengo na hoteli za kisasa ila ni za kazi gani wakati wanasiasa wanaharibu kila kitu...🙁🙁🙁 kwa utawala wa Magu, Tanzania hii sio ile ya kale...
Jamaa wanadhani wamepata, kweli kipofu akiona jua ni taabu duniani kote watajuaActually 1960s technology considering the planning phase of TAZARA project.
Mkuu wataelewa tu mbona miezi michache yapi merkezi wanawaeleza hatukuja kuuza sura tz na ndo hapo wataelewa tz huwa hatubaatishi tumeshaamua kusonga na tutafika.Jamaa wanadhani wamepata, kweli kipofu akiona jua ni taabu duniani kote watajua
Nakumbuka kipindi kile cha ujenzi walikuja hapa ku justify gharama kubwa za reli yao hizi Bridge zao wanasema ndio zilizopandisha bei ya ujenzi ilibidi nitulie niwe mvumilivu.
Jamaa anashangaa vipi mkataba usainiwe juzi designs zitoke siku hiyo hiyo nataka nimwambie hii project ni design and build hayo madaraja ni ya Dar Moro sababu sehemu yote ya mjini Dar huenda ikapitiwa na hili daraja.
Ya Dodoma ndio itakua balaa zaidi sababu nakshi zitakua za kipekee hazitafanana na phase one
Wewe si mtanzania.Kweli tupo vizuri lazima watakubali Tanzania sio ya kubeza
Haha majibu redeemer ili swali sio la nchi hiiWewe si mtanzania.
wacha wenyeji waonge.
Kweli tupo vizuri lazima watakubali Tanzania sio ya kubeza
Kuna ubaya gani mwenye mapenzi mema na Tanzania akiongea? BTW umeona daraja na tunnel kama zile zinazojengwa Tsavo na zinazojengwa Naivasha? Zetu sie zilijengwa 1960s!Wewe si mtanzania.
wacha wenyeji waonge.
chinA hadi wa leo wanajenga nA hiyo mtindo...kila nchi na tradition yao.Kuna ubaya gani mwenye mapenzi mema na Tanzania akiongea? BTW umeona daraja na tunnel kama zile zinazojengwa Tsavo na zinazojengwa Naivasha? Zetu sie zilijengwa 1960s!
[emoji115] [emoji23]
Wacha ushamba wewe, ushai skia msemo unaosema if it doesn't break dont fix it, technology ya kujenga kitu kama tunnel au bridge ni nadra sana kubadilishwa, hio ni chinies technology.... Niko very sure hata huyo mturuki, ukichunguza vizuri utangundua hio technology wanayotumia ina miaka mingi sana ya 'proven technology'Tazara (Mbeya 1960 technology)
Khaa umeanza kwa ubishi tu...yaani umefukunyua picha ili mradi tu upate kulinganisha! Sasa daraja la mbao na steel+concrete wapi na wapi?Wacha ushamba wewe, ushai skia msemo unaosema if it doesn't break dont fix it, technology ya kujenga kitu kama tunnel au bridge ni nadra sana kubadilishwa, hio ni chinies technology.... Niko very sure hata huyo mturuki, ukichunguza vizuri utangundua hio technology wanayotumia ina miaka mingi sana ya 'proven technology'
Kwa mfano nikifanya google kiasi ya american rail standard Ambato mtutuki anatumia napata picha hii ya suspension bridge iliyogengwa 1850 Niagra falls , wakati huo walikua wanatumia steel au wood lakini ukiangalia hio suspension bridge inafanana na hio yenu kweli
View attachment 601363 Niagra falls 1850!
Uganda will be building electric rail with the context that they have signed, therefore they wont need additional cost for electrification, by the time the rail reaches kampala, Kenya is also expected to have aready electrified ..i.e by 2020..Still remains non electrified railway and it will take over $400mln to electrify Mombasa-Nairobi alone meaning for the whole SGR project to Kampala n Juba, over $1.5 bln will be needed to electrify the whole rail network.
Acha nicheki bro..Kuna documentary sahii KBC ya chinese railways mnaezatazama...hakuna tofauti na sgr ya kenya kWA madaraja